Bado tunakukubali sana Dube we ni mshambuliaji mzr wananchi bado tunakukubali ila kila la kher๐๐๐๐๐๐๐๐
2026-07-04 15:17:49
2
Bint.. marumahโจ๏ธ๐น๐ฅฐ :
uongo zambi hakun mkamilifu ktk maisha ila nimeumia san kuondok yanga mungu akutangulie uko uendako uwe bora zaid ya kote ulikopita๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
2026-07-04 20:55:59
3
aisha mgg8 :
unaenda wapi
2026-07-04 15:58:24
0
๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐75 :
tunakushukuru sana japo umeamua kutuacha
2026-07-04 16:06:34
6
lovely grace :
umeamua kutuacha mungu akutangulie japo tumeumia
2026-07-04 17:33:25
4
Absina Rashid :
nimeamini yanga bila Simba hawaendi
2026-07-04 19:35:57
2
Mabawe Ngara :
usingeondoka
2026-07-04 17:50:01
0
ruby :
kila kheri tutakumiss Sana asee sikutegemea kabisa
2026-07-04 21:24:19
1
sandrina :
kak kila lakheri uko uendapo mwenyezi mungu akulinde
2026-07-04 21:15:49
1
Aliamin Magembe :
hakik
2026-07-04 14:53:18
1
tagililutamla :
Dube kwanni baba umetuacha bado tunakupenda kaka ๐น๐ฟ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
2026-07-04 18:51:19
1
Lee ngusa :
MUNGU akufanye kua bora zaidi prince dube hakika wananchi tulikupenda na tutaendelea kukupenda wew ni familia ๐๐๐
2026-07-04 18:18:15
4
Ritha :
tutakumic sanaaaa kipenz cha wananchi๐๐๐๐๐๐๐๐
2026-07-04 18:08:06
10
Mrs F :
yaan mim naomba urud tu yanga jamn mpak nimelia haki
2026-07-04 21:00:27
2
๐ธ@๐ฅ๐ฃ๐ฆ๐๐๐๐๐ :
utarudi lini ?+
2026-07-04 18:21:20
1
avines :
yanga naombapo pesa namimi nishabikiwenu๐
2026-07-04 16:15:30
1
@,,HAULE๐ฅ๐ :
kila la kheri kwenye utafutaji wako dube wananchi bado tunakupenda na tutakukumbuka xana ๐๐๐๐๐๐
2026-07-04 17:57:11
2
Albert Werema :
tutakukumbuka daima uliichezea timu ya wananchi kwa moyo mmoja respect bro
2026-07-04 19:50:08
1
slk :
ilaa mimi prince dube sijapenda uondoke mke wangu ana mimba akizaa mtoto wa kiume nampa jina dube jinsi nakuelewa sana I love prince dube
2026-07-04 17:48:40
1
To see more videos from user @yaokouassi_, please go to the Tikwm
homepage.