@mgawizystudio93: ✅KARIBU KWA HUDUMA YA PICHA NA VIDEO SHOOTING :0692157490 #Swahili #Mgawizystudios#kibaokata#Harusi#dance

Mgawizystudio93
Mgawizystudio93
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 04 July 2026 14:51:36 GMT
218217
10056
189
202

Music

Download

Comments

user40297696124344
Rahma Said 🥰♥️ :
natamani nipate rafiki kama huyu, tatizo watu hawapendi ukweli hajataka unafiki kawapa ukweli wote
2026-07-05 11:46:34
109
fatumamnyazi6
fateemah🦋🐝 :
Jmn tusome
2026-07-05 03:03:28
65
marybel2390
marybel :
😂😂😂sijawahi kuelewag hiz mambo
2026-07-05 04:05:34
57
zuuh4712
🐻Zuuh. 🌸YH❤️💍🐻🌸🦋 :
Sasa ap anmnyali naniiiiiii😅😅😅😅
2026-07-04 21:14:44
34
zulpharamadhan322
Ummy Noor♥️🥰 :
kwahiyo huu ndio ujanja au🤣
2026-07-05 10:40:27
51
johary.vijola
johary vijola :
hii kitu mbaya kama hujajiingiza usisubut bola uwekeze vikoba kama unaamini
2026-07-05 16:47:11
23
user431095582
laddyney beauty point mafinga :
shule muhimu jaman
2026-07-05 10:28:04
23
zainabuzamim
zainabuzamim :
Weee nisingetulia kumsikilizia wee kingeumana
2026-07-05 06:35:38
12
maryambeauty008
"Maryam Product" :
yote tisa kumi ana skin nzuri sana ameglowww
2026-07-05 11:22:12
7
official.sasha60
official sasha :
Mimi namkunjaaaa nampigaaa aweziiii kujifanya mwambaaa kwamba ananijuaaa sanaaaa😂🤣😅
2026-07-04 22:18:11
22
fardylilyan
fardylilyan :
ujinga😂
2026-07-05 04:21:00
8
ipopo18
Siora Fam❤ :
Mbona anamchamba mama shunghuli au Mimi ndyo sielew😂😂
2026-08-19 13:04:33
0
mamajessy
vegalicious :
sasa ndo nn ivyo😂😂 uswahili kazi sana .
2026-07-05 01:03:54
25
slimstore2
Slim Store Zanzibar🌴 :
😂😂😂10/10 nalipa
2026-07-24 08:31:48
0
user4437634122628
💕""Daylah"""💕 :
5/5
2026-07-26 08:36:56
0
nipherjunior781
nipher j :
katika mambow sielewi niizi😢🚶‍♀️
2026-07-05 11:48:42
6
zakhi.abbas
ZAKHI ABBAS💙🔥💦😘❤ :
Ana tamba yan km chiz
2026-07-05 13:10:44
5
nuratychin
Nuraty_china backup :
sa mbona atuliii
2026-07-26 12:33:49
0
asma.athan5
Asma Athan :
Kwa Hali hii sijuraumu kutokuwa na rafiki
2026-07-23 06:11:27
4
behumble.com0
Ayra :
Ogopa combination ya Confidence na ushamba.
2026-07-08 16:53:37
4
bebeing73
Fetybebe1 :
Ovyoooooo
2026-07-11 14:02:40
0
user99816351517737
Amina seleman :
mmh mi namwambia achukue bean lake
2026-07-25 22:52:34
1
kidemsela
kidemsela 💸 :
aibu naona mimi
2026-07-05 11:22:31
2
To see more videos from user @mgawizystudio93, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About