Lakini hapo tajiri si yale yale tu non active means a phone that hasn’t been activated yet unavonunua wewe ndo mtu wa kwanza ku unbox from factory na kuiwasha and a phone can be brand new &active like imetumika maybe for a week or sth na warranty ishaanza kuwa counted!!So me sioni shida watu kusema non active/active & what not. 😁
2026-07-05 10:43:41
11
𝕊𝕆𝔻𝕌𝕏𝕄𝕆𝔹𝕀𝕃𝔼 :
Shida wauzaji sisi pia tunakosea mteja anakuja unamwambia hii no brand new wakat unauza refurb Tena LLA from dubai…Na refurb certified from apple ni huwa official water resist… so Kikubwa refurb zitaendelea kuuzwa coz wateja hawafiki bei ya SIMU ambazo Ni official 😂 😂
2026-07-05 16:40:30
4
jay :
kuna refurb ya apple store na refurb za wajanja😂
2026-07-05 12:36:33
7
⚙️Issa📩 Phones📲accessories📤 :
unamanisha 15promax LL/A Ukiikuta apple store itakua inatumia laini?
2026-07-05 09:20:40
3
simu_excellence :
Sahihi
2026-07-04 15:58:39
6
SAM :
umenyoosha sana
2026-07-05 08:19:21
1
æ😇 :
utasikia ni brand new kumbe refurb..
2026-07-05 08:49:49
1
Nkujah_iPhoneCare :
👍 Umenena vyema
2026-07-05 08:33:13
1
📍EYSHER❣️ :
Big up broh mungu akuweke 👊
2026-07-06 08:46:58
0
Papizo_accesories :
Akili nyingi 🙏
2026-07-05 12:15:34
0
Augustino Ernest Mhina :
shida iliyopo baadhi ya wauzaji siyo wa kweli kwasababu ya wateja wengi wanapenda vitu vikubwa lakini uwezo mdogo ukimletea simu Brand new na ukampa bei anahisi unamuibia na wengi hawafiki bei ya Brand New/Non Active hata hiyo Apple Certified wengi bado bei hawazimudu hivyo kinachotokea wateja wengi wanauziwa Seller refurbished phones na siyo manufacture refurbished, muuzaji anavyosema hii simu ni non-active anakazia kuwa hii simu ni mpya na haijatumika maana kusema hii ni full box pekee haitoshi maana wateja wameshagundua full box nyingi ni kanjanja
2026-07-05 18:34:48
0
DomyDocta Technology Zone📲🖥️ :
Huongei kitaalam unaongea kuitetea biashara.
2026-07-05 07:44:30
5
Brighton Renatus :
Waliowengi ni vihana walioingia kwenye hii biashara ya electronics hivi karibuni, (mawinga) na kiuhalisia hawa watu hawana elimu ya tech ila tu kwa sababu wanauza au kufanya kazi kwenye maduka ya simu wanajikuta wajuzi sana wa simu. unaenda kununua simu kwa mfano; Samsung s25, yeye anakuuliza unataka s25 plain au ultra!!? sasa unajiuliza hiyo s25 plain ndo simu gani?🤔
2026-07-05 14:05:59
0
Chriss uchebe 🍎 iPhone store :
Acha kudanganya watu ww
2026-07-05 14:38:09
0
YASSIN SAID :
The problem is hizo ni un-official repackage
2026-07-05 08:23:24
1
NawadhTronics✨️ :
💯💯fact
2026-07-05 12:39:46
1
Phone Vertex Tz :
Real fact 💯
2026-07-05 09:45:39
0
tumain phon accessories :
kwa hy saiz kwanzia iphon 16 kushuka chin hata kama ipo kwenye box sio mpya ni lfb
2026-07-05 08:13:37
3
Lucky Hoppe :
Wanapotosha kweli kweli yaani
2026-07-05 08:26:21
1
Lee Istore :
Sure bro Tatizo watu wengi wajuaji😁
2026-07-05 07:47:03
0
iPick_Zone :
Umetisha sana mkalii 🔥✊
2026-07-05 07:54:34
0
SIMU ZONE HQ :
🔥🔥🔥🔥bora kaka
2026-07-04 21:43:32
4
MR. EGNO MODEST MEELA :
Tell them the truth 🔥
2026-07-04 23:15:06
2
⚙️Issa📩 Phones📲accessories📤 :
refurbished ya wajanja wa karikoooo ni nyingi kinoma LL/A 15PRO inasoma line physical we uliona wp?
2026-07-05 15:42:16
0
Seifkhan bin daud :
refurb ya dar unalinganisha na iliyotoka Apple store? sas iv refurb nying zinatoka bongo hapa hap tena zinawekewa vitu fake
2026-07-05 12:37:41
0
To see more videos from user @simukweli, please go to the Tikwm
homepage.