@Vdashjo Investment Co.Ltd Nimeenda sehemu nikapima nikakuta kuna dhahabu nikachukua coordinates za hiyo sehemu. Swali langu ni kwamba nashindwa kuingiza hizo coordinates kwenye madini portal, nataka kujua kama eneo hilo ni leseni ya mtu.
2026-07-05 06:39:38
0
carlos ngassa :
yep niko hpa kukuskiliza
2026-07-06 10:47:59
0
hamzaswalehe295 :
mwamba nakukubali sanaaa pamoja na kwamba tumekwama kwenye mpango wetu ila ntakuja mwenyewe pamoja na mtoto wangu kwaajili ya uchimbaji umenyooka Sana
2026-07-04 17:08:52
0
user42782306105542 :
😂😂😂
2026-07-05 18:14:57
0
Evanc cado :
✌✌
2026-07-05 15:40:21
0
pop wotta :
😳😳😳
2026-07-07 10:00:47
0
To see more videos from user @vdashmining, please go to the Tikwm
homepage.