@kibudenis5: congratulations my team simba sports ninayo furaha kwa kuwa mabigwa simba nguvu moja✨️@simba sports @Dee🌸🦋 @Muslims☪️ #goviral #alnasery #tiktok
Kibu Denis Mtoto wa Msimbazi Kipenzi chetu Mwamba kabisa , kiboko ya Yanga,kibu Mkamdaji,kibu mleta furaha,tunakuombea mafanikoo huko kuliko.
Tuko pamoja na wewe popote ulipo.
Kibu familia ya Simba,Mbabe wa Yanga.
2026-07-05 05:42:30
74
HEAVYWEIGHT 🇿🇦⛎ :
Bado kibu ni family ya Wana simba like zenu hapa wana simba 💪💪
2026-07-04 19:50:47
141
user4281335891076 :
Home is home thank you Kibu D
2026-07-05 03:35:38
11
Samwel Urioh :
Bado kibu ni family ya Wana simba like zenu hapa wana simba 💪💪
2026-07-05 06:07:42
11
vaileth chacha :
tumekumis sana mkandaji wetu
2026-07-05 05:13:57
21
Metsela :
MUNGU akuzidishie baada ya kukumbuka nyumbn
2026-07-05 05:18:50
16
colline mujuni :
daah kibu god bless 🙏🙏🙏
2026-07-04 17:15:21
35
guyash phb :
Bro nilifikilia umeondoka mazima kumbe bado unatu kumbuka 🙏🙏🙏🦁🦁🦁🦁🦁⭐ aiseee like nyingi kama we nimnyama
2026-07-05 09:37:23
5
Seagull :
kibu God bless you..💪
2026-07-05 04:28:35
3
Joseph Papy Papy 123 :
kaka tupo pamoja na ww siku zoye zamaisha
2026-07-04 17:48:50
18
MR Bravos washer🐐🇹🇿 :
Huo ndio upendo wakwel prosper tunakupenda sana ww ni family daima❤️❤️❤️
2026-07-05 11:19:47
2
user55293425762260 :
bado tunakupenda urudi Tena mm ni moja ya shabiki yako Kibu Denise 🥰