@ngilini_: True story for life #creatorsearchinsights #NgiliniOG #fyp

NGILINI OG🦉
NGILINI OG🦉
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 04 July 2026 17:07:42 GMT
3851871
294617
5364
24244

Music

Download

Comments

fatmahkhan87
🦋❤️T.H.U.M.A.B.A.B.Y🦋❤️ :
duuh Ila ssi wanawake jmnii ,wanawake wenzangu ukipata mtu anae kupenda tulia Nae😭😭😭
2026-07-09 04:31:41
528
tabby9584
Tabby 🥰 ❤️🙏 :
No one is talking about the bed 🥰🥰🥰🥰
2026-07-09 00:18:35
159
mrviewonce254
Official@Mc Mido :
kama vedeo hii imekugusa finya like
2026-07-09 08:07:14
505
fridabahathi
samakitu :
pole sana kaka ila nimeamini sisi wanawake atuliziki
2026-07-08 11:01:05
242
mr.tush3
𝙈𝙍. 𝙏𝙐𝙎𝙃 :
If your phone is not in your left hand call me a fool 😂😂
2026-07-14 15:22:19
12
tobiaselwak1
user6113419651481 :
pole sana kaka your story is like me no different atoll
2026-07-18 04:46:06
7
jajikazungu
Kazungu wa Mudzini :
hizi vitu ni za ukweli , inauma sana
2026-07-05 07:34:42
98
claramlowe8
claramlowe8 :
Hata me nimeumia sana,siwezi fanya hivyo na siwezi kujaribu hata kama Mume wangu najua anachepuka kila siku!! Na Mungu anisaidie
2026-07-07 15:10:03
195
user5082039524818
onesimo. by :
shida nikumusahau mungu ndomana kuyatenda hayo wanaona kawaida
2026-07-08 18:57:20
47
zuhena19
zuhena :
wanaume kwanini mnawalaum wanawake wakati chanzo niwanaume
2026-07-17 12:10:21
18
howbigiam
howbigiam :
ogopa sana mwanamke anaekujibu nakupenda pia
2026-07-15 20:26:48
14
irine.akuu
Irine beby :
mim nilivo choka kulipa kodi walahi natamn ndoa😳
2026-08-04 10:48:05
8
dottokiswaga467
Dotto Kiswaga :
tupo tulio tulia ila tunaowanyesha utulivu wao hawaoni kbs acha waliopata nafasi ya kucheaat wacheat
2026-07-21 12:45:35
14
jumanneyassin
𝒋𝒖𝒎𝒂𝒏𝒏𝒆 𝒀𝒂𝒔𝒔𝒊𝒏🪴 :
hii ione kwenye Tiktok tu isikutokee😅
2026-07-17 11:54:05
8
user6704810912533
Toto sylivia :
mimi niwe na bwana ,,ona tu hata Mahali pa Kulala...walai Mungu si unipe Kama huyu...
2026-07-09 10:20:10
81
userdilunga22
USER DILUNGA22 :
achana nae hakufai huy ila pole sana
2026-07-19 10:46:33
7
dijjahchamile
dijjahchamile :
10/10 nalipaaa
2026-07-09 21:32:47
11
fetty.bybe.mussa
Fetty Bybe Mussa :
yaan wanawake wema kupata mume mwema mtian na mwanaume mwema kupata mke mwema ni shida
2026-07-11 17:31:07
34
angelr6300
Lizzyangel :
20/20 nalipa
2026-07-09 12:22:19
8
josephbuhembwe
Tan boy :
Kwan saiz jera miaka mingapi wakuu kwa kesi ya mauwaji?
2026-07-14 13:07:30
18
gracemwira1
rashidi 07 :
pole sana linaumiza moyo.nashukuru kwa fundisho
2026-07-05 12:50:44
53
user7969110418305
noela kalumba :
jameni adi aibu
2026-07-09 13:08:17
22
lazaro.nguno.magu
Lazaro nguno magunya :
mimi siwez kuoa
2026-07-06 09:00:33
42
sijry.abas
Sijry Abas :
mtihani mungu atunusulu atupe wake wema wanaume wote duniani
2026-07-09 07:12:02
8
To see more videos from user @ngilini_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About