@islamic_rihla: Kabla ya kufanya uamuzi kuhusu mchumba, hakikisha unatanguliza yale ambayo Uislamu umetufundisha kuyapa uzito. Dini njema, tabia njema na uchamungu ni miongoni mwa misingi muhimu ya kujenga ndoa yenye baraka. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH SAID BAFANA 📌 Fuatilia Islamic Rihla kwa mawaidha, nasaha na mafunzo mbalimbali ya dini. 🔄 Sambaza kheri hii ili wengine nao wanufaike. 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #islamic_rihla #islamicvideo #uislamu #islamic #islamic_rihla 🟠 FOLLOW US