@chazymediasports: Wachezaji, Makocha na viongozi wa Azam Fc wamesusia medali za washindi wa pili wa kombe la FA CRDB Cup baada ya mchezo kukamilika kwa kufungwa goli moja dhidi ya Simba Sc katika fainaili iliyofanyika Pemba, Zanzibar.

chazymediasports
chazymediasports
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 04 July 2026 17:20:23 GMT
43628
861
35
18

Music

Download

Comments

user3597695211792
Mnyillah :
Azam ameonewa sana
2026-07-05 04:58:26
7
dennismungai2
dennismungai2 :
wameonewa sana leo
2026-07-05 03:18:19
12
ramad661
@ramadhan n_h :
Mm ni mwanasimba ila sijafurahishwa na hii kitu kwa kweli maana hata ushindi wenyew haunogi
2026-07-05 05:02:17
3
neemavennace
ney 🦋♥️ :
hata ningekuw mmi siwez uonevu mwingi kuliko kitu chenyewe
2026-07-05 05:37:51
1
said.kamduma
Said Kamduma :
ingekuwa yanga hapo ungesikia wanatozwa faini million 600
2026-07-05 06:29:17
0
a.d.m636
A.D.M :
wako sahihi.. maana refa alipewa hongo maaalum.. awabebe simba
2026-07-05 06:09:05
1
rayleecuyz
Raymond :
Bongo jau sana, marefa wanapendelea sana Simba na Yanga tu
2026-07-05 06:01:19
1
happifanus3
Happifanus :
Yanga mnaumia sana
2026-07-05 04:45:32
0
zungu5928
omega :
ipo siku ligi itasimama☺️☺️
2026-07-05 06:25:33
0
user8885123301988
salhag :
bora wamesusa
2026-07-05 05:52:34
0
yambiashura
user6544829768737 :
watajua wenyewe
2026-07-05 05:57:26
0
user1614216866186
M. L :
hiyo ni kweli kabisa ili siku nyingine wajifunze
2026-07-05 06:18:16
0
eliaichimsuya1
eliaichimsuya6 :
Aibuuuuu
2026-07-05 05:27:21
0
user32452834582354
lilycroc19 :
ligi imefika baya. sana
2026-07-05 04:56:32
0
tangomike0
Golden Heart :
ningeshangaa sn kama wangezivaa
2026-07-05 03:29:14
2
marrymangee
marrymangee :
ni kweli waliwanyima penat ya wazi kasa
2026-07-05 03:53:12
1
festovenas0
festo venas :
walitegemea watufunge😅😅
2026-07-04 19:51:58
1
jackline.jonathan18
Jackline Jonathan :
wasuse tu ndiyo vizuri
2026-07-04 18:16:12
2
rodgersndagije149
rodgersndagije149 :
wala wasijali tuko tayali kuwalipia kisasi ngao ya jamii
2026-07-05 04:27:04
1
elizabethtito57
Elizabeth Tito :
wamefany jambo la maan hata Kam wakapingwa fain tutalipa
2026-07-04 20:31:56
1
yambiashura
user6544829768737 :
wanaoumia ni vyura kulko azam
2026-07-05 05:58:19
0
user133477163490nyalwesa
nyalwesa chuma :
azm mnema Ile ilikuwa penat Ile ilikuwa inje na box fikilien maisha mengine hata mkilamika saaana swala lamarefalii halijaanza Leo tuendelee kuishi yote maisha
2026-07-05 05:33:12
0
fredbonaventure0
fredbonaventure :
sijui nini kifanyike ila simba na yanga wanaharibu mpira wa tanzania kwa kilichofanyika nzanzibar ni aibu sana hata kama azam lile goli alijifunga ila mpira ulikuwa mbovu sana na ulisababishwa na maamuzi mabaya ya mwamuzi na mchezo ulishamshinda alishindwa kuhimili presha ya timu zote mbili,,,kuna haja ya hawa wamuzi kujifunza vitu kwenye hizi mechi zenye ushindani mkubwa na kuacha kando mapenzi ligi zetu zinaenda pabaya sana kwa namna hiii
2026-07-05 05:54:20
0
frank.yohana86
Dr frank yohana :
kwani walilazimisha kwenda Zanzibar
2026-07-05 04:37:16
0
To see more videos from user @chazymediasports, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About