@clickmaster_1: Hii ni siku ya historia, yenye vibe la kutosha , na wanachi waliotupa nguvu za kipekee! 💚💛 Asanteni familia ya Yanga kwa mapokezi makubwa na upendo wenu mkubwa. Hii ilikuwa zaidi ya show, na nisiku ya kukumbukwa 🎉🎉🎉🙌🏽🙌🏽🙌🏽🔥🔥🔥🔥 #Yanga #LivePerformance #PALEDILAMABINGWA #clickmaster #tanzaniantiktok🇹🇿
Click Master
Region: TZ
Saturday 04 July 2026 17:42:34 GMT
Music
Download
Comments
JERRYPRO_XL :
ANAEIJUA HII CAMERA 📸 ANIELEKEZE PLZ
2026-07-04 18:37:37
129
🌹G🌹waukae :
kam ww ni shabiki wa click tia like hapa♥️
2026-07-04 18:25:40
432
Aminah 😘 B ... n 🔥👾 :
kama unapenda click master gonga like🙏🙏🙏🙏
2026-07-05 11:57:40
3
Moreen 💙⭐ :
sijui Kwann umekua yanga na nakupenda hivi
2026-07-05 07:26:33
42
Swaleh Khan🏄🏾♂️ :
Dah nilijua Ccm 😅😂😂
2026-07-04 19:10:01
16
Davd Rock💫 :
ikifika 10k mnambie😂
2026-07-04 17:51:55
68
Fadhili :
Me ni simba bro ila Mungu azidi kukufungulia kaka katika utafutaji wako 🙏
2026-07-05 05:07:08
36
maprofessor_ :
IPO SAW 🔥🔥🔥🔥😂😂😂💪🇹🇿
2026-07-05 07:00:35
14
Shakira Banob :
Kuwa yanga raha vibe la kutosha
2026-07-04 19:37:49
21
Patcho Mwamba 99.9% :
Click Master to the World 🌎
2026-07-04 18:54:55
4
happyfelix✨🇹🇿🇰🇪 :
Salamu kwa camera man
2026-07-05 03:29:56
6
Isaya Alfred :
mimi nisimba ila umepafom vizur dogo pambana Mungu atakusaidia
2026-07-04 18:39:54
5
Angel G :
Duuuuh mlitishaaa aisee
2026-07-06 05:42:19
0
EDSON PILLY :
Respect bro 🙌🙌🙌
2026-07-06 04:34:17
0
ney :
umetisha man
2026-07-06 03:57:20
0
Glory Bryton :
kam unamkubali click master gonga like hap
2026-07-05 13:48:53
1
Dr fredy :
2026-07-04 19:00:32
9
4AB🇺🇸 :
aliyekupanafasihii hatojutia maana umemuonyesha kweli unaweza🫡
2026-07-04 18:50:23
10
Mercedes maresa :
aka ka msanii kanapendeka 😁 nyimbo zake zimenifundisha kumbe idea za nyimbo ni nyingi sio lazima mapenz
2026-07-05 01:21:27
5
Elias :
mimi ni shabiki wako ila umeniudhi kufanya show na kutumia mdori wa simba
2026-07-05 04:58:19
9
pandu ferra :
🤔😁ulianza vizuri ila hapo ndo umekuja kuaribu🐸
2026-07-04 18:10:26
16
Makete-finest :
Umeharibu hapo kwenye jezi tuu 😀😁
2026-07-06 12:42:53
2
Edward Charles💘💘🍊🍊🍎🍎🍎🍎 :
10/10 nalipa chapu
2026-07-04 17:56:36
2
To see more videos from user @clickmaster_1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.