Allah atulinde sisi na vizazi vyetu na atupe mwisho mwema
2026-07-05 02:17:33
19
ʿAlyāʾ 🕋💕🧕💞 :
Ningekushauli uachane n hayo mambo kwa sababu Allah ndiyo mjuzi wa yote...focus on worshiping Allah na pupia kwenye kutenda mema
2026-07-17 12:43:29
6
blah blah :
Allah atulinde yarab
2026-07-06 16:54:08
4
hamsocj2 :
kbsaa Ustadha, mashallah well spoken
2026-07-04 19:23:49
5
Saju Al-Abry🥰 :
MUHAMMAD RASULUALLAH
2026-07-05 06:33:12
7
Ibrahim Abdallah :
kwan mtu mpk aitwe muislam anatakiwa awe na nn au afany nn
2026-07-17 22:57:03
0
hustler :
huyo ni mtu mmoja lakini sio mashia wooote na hilo sio kosa la ushia ni kosa la mtu.
2026-08-09 06:47:07
1
KIM.HARRIS.1905# :
Allah nd mjuzi wa kila kitu
2026-07-05 06:58:00
3
Aisha :
siwezi kukunyima like
2026-07-05 19:10:48
3
Alkanizer :
mashia ni wasilamu.wanaamini mwenyezi Mungu mtume wake pamoja na nyumba ya bawana mtume
2026-07-07 14:47:33
1
Yuske de :
We unajua nini
2026-07-06 06:47:42
0
Zamil Rakmil🇺🇬🇨🇩 :
nakukubali bro
2026-07-05 07:42:56
3
Shami mshami :
inasikitisha sana
2026-07-05 06:12:53
2
Musaore Oree :
ndani ya shia kuna vikundi tofauti,je unajua washia wanao itwa zaidiya? itikadi zao na Sunni ni Sawa Mia fil mia.sasa unapo sema Shia sio waislam unakusudia dhehebu gani maana sio wote wanasema kama huyu anavyo tamka. je muislam ni nani?
2026-07-16 18:03:18
0
Billydicktates🐐 :
2026-07-04 18:49:32
2
very soon :
subhanallah
2026-07-05 04:10:26
2
ABU_NAJMA :
jazakumullah khyran, kweli we ni simba, ni shujaa pekee aweza bainisha haq bila uoga🙏
2026-07-05 07:17:39
6
Muddy-A'town-trainer :
Subhanallah
2026-07-06 07:26:52
1
zahreinrk :
subhanallah ndyo maana siwakubali kbsaa mashia
2026-07-05 20:16:50
2
sule :
mashallah vizuri sana
2026-07-05 04:47:14
2
mimi :
SubhannaAllah Allah
2026-07-05 17:41:37
1
Sulleyy :
mashallah kweli kbx
2026-07-05 21:39:35
1
kijasho :
AI
2026-07-05 07:13:17
1
To see more videos from user @abdulkarimsimba, please go to the Tikwm
homepage.