@fatma07013:

fatma🦋
fatma🦋
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 04 July 2026 18:31:19 GMT
82102
13783
901
198

Music

Download

Comments

ozalima37
ozalima😘😜 :
njema afiyaa ,,atuongoze njia sahihi ,, na atujalie mwisho mwema ,,, mimi , wewe pamoja na familia zetu🥺🤲🤲
2026-07-05 03:42:25
139
mariam.halimoja
Mariam Halimoja :
mwisho mwema mm kizazi changu na mama angu..na amrehemu baba angu
2026-07-04 19:56:20
83
msodock2
Amēēr🦅 :
Ameeen yaar'abbi
2026-07-06 15:27:25
0
mrsbee2004
MR'S BEE :
anipe furah ya kudumu kwenye maisha.yangu🥰
2026-07-05 06:34:40
29
offcialzulpher
Official zulpher💞💕 :
Aijalie familia yangu maisha ya furaha na nifanikiwe katika maisha yangu,amjalie mama yangu maisha marefu na baba yangu
2026-07-05 04:17:33
17
mrsmlope
Mrs mlope :
amjaalie mtoto wangu awez kupona
2026-07-05 18:56:36
15
sabiy496
sabiy :
allah nijalie mtoto nimpe Mme wangu furaha na yeye 🤲🏻😭
2026-07-05 17:12:21
6
cutemaya7818
MAYA COLLECTION 🛍 :
Anirejeshee mwanangu duniani tena maan sina raha kabisa moyo wangu una uchungu sana 🙏🙏💔💔
2026-07-05 15:23:55
10
fatuma.shaban52
Fatuma Shaban :
mwisho mwema atuongonze katika njia sahihi sote atupe ziriki za halai.inshaallah
2026-07-05 08:56:34
7
hawaa.luvuno
hawaa luvuno :
mwenyezi mungu anipe moyo wa subra ,afya njema n furaha wakt wote inshaallah ♥️🙌 ❤️🙏
2026-07-05 17:34:36
10
lichinji_daughter
Nichar💔🇹🇿 :
pepo na mwisho mwema mm n kizazi changu amina🥹🙏
2026-07-05 12:58:43
13
aqsah037
reysh💝❣️ :
Afya njema mwisho mwema kauli thabiti na kizazi Chema 🙏🙏
2026-07-06 04:32:44
5
kihange
kihange :
anijalie riziki. afyanjema. umri mrefu. na mwisho. mwema inshaalhaaa 🙏
2026-07-05 18:26:53
8
fahyma95
mrs🌸sabreezy🦋💍 :
anipe furaha ampe my mom maisha marefu amrehem my daddy 🥹♥️🤲
2026-07-06 17:47:18
0
bahatisha265
BAHATISHA :
mwisho mwema mm na familia yangu
2026-07-04 21:16:48
11
pepee9571
PEPEE :
dua yangu siku zote ni kufika katika nyumba ya ALLAH MAKKA NA NAOMBA KESHO ANIPE NAFASI YA KUINGIA JANNATUFIRDAUS
2026-07-05 09:54:57
6
milkshakers26
milkshakers :
AFYA ,PESA AND LONG LIFE SPAN ❤️
2026-07-06 06:58:16
1
derrickomar001
Omar :
maisha marefu with bright future
2026-07-05 06:42:02
2
shinjiikagawa
RAMADHANI ATHUMAN :
Neema zake zote nzuri 🤲🤲kubwa kubwa
2026-07-05 07:59:00
6
raah.savage
raah savage :
mwenyezi mungu anijalie afya furaha maskilizano mimi na familia yangu pamoja na uzao wa mapacha inshaàllah🙏🙏🙏
2026-07-05 04:02:32
17
user2819601069063
Amina@muluku :
Anipe amani kila wakati,, ailinde familia yangu ,, ailinde ndoa yangu na atupe mwisho mwema INSHA' ALLAH
2026-07-05 07:26:04
6
salha.ollo6
Salha Ollo :
aniondolee dhaama zote ninayo pitia kwenye maisha yangu na aijalie familia yangu afya njema
2026-07-05 05:05:45
8
bintaziz65
Bint Aziz. :
Allah anijaalie kheri ,afya njema na hatma njema mimi ,familia yangu na ndugu zangu waislam wote .Na awape makazi mema ndugu zetu walio tangulia akhela.🙏
2026-07-05 07:40:41
7
malova.ayush
Malova Ayush :
anizishie afya ,maskizano na mwisho mwema lnshallah
2026-07-05 10:55:47
3
ibrahimu.hussein8
ßrandysavvage36 :
afy njema na mwisho mwema mbele zake🙏🏼🙏🏼
2026-07-05 06:50:40
4
To see more videos from user @fatma07013, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About