mm nimelipia nna haki ya kubeba..jana nimeenda mnemba..mgeni hajawahi kula seafood kaonja t imemshinda..oyaa nlibeba zote..sasa mpishi kaishia kuduaa tu..ttz nn na nimelipia.🥰
2026-07-05 08:27:18
1
Dallan :
mpak soda wanafunga ao😂😂
2026-07-05 03:43:09
1
CHIDY 🦴 :
😂😂😂 he kipenz
2026-07-05 03:20:25
1
Vuai cinematic look :
Kwahiyo ww haubebi na wala haujali dereva wako. Basi ww ni mroho.
2026-07-05 07:29:11
2
Sule Zanzibar :
Kwan wao so wanalipwa
2026-07-05 03:10:02
2
gallo zanzibar :
Kwan wao wanalipwa na nani?
2026-07-05 14:43:17
0
Chimper🍁 :
Kwani chakula anapikiwa captain boat 😅
2026-07-05 12:26:28
1
Yassir Kontawa :
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-07-04 19:13:14
1
To see more videos from user @madamesuprisetz, please go to the Tikwm
homepage.