@premiumseafoodsupplies0_: Wamepatikana! Vijana 5 wa Nairobi wanaswa eneo la silver rock wakiwa ndani ya gari lao walilokuwa wanatumia kama 'base' ya kuficha simu za wizi walizofunga na foil paper wakijepa simu kutoka event ya summer huko lost . Hii ni siku ya 3 wakiiba na walikuwa wanapanga kuingia leo siku ya mwisho kumaliza kile walichobakisha. Kumbe wezi mnakuja na magari yenu kutoka Nairobi kuharibu utalii na jina la Coast? Tokeni hapa na tabia zenu! 🤮👇#Lost #NairobiThieves #CoastIsSafe #FichuaWezi #GariYaWezi

Feel malindi with Abdul
Feel malindi with Abdul
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 04 July 2026 18:55:38 GMT
38229
1151
31
282

Music

Download

Comments

deniszawadi
deniszawadi :
Wana cheza na malindi tena bahati Yao Sana ak
2026-07-05 02:55:00
14
street.major7
MDZIHANA WEHU :
salute kazi safi crew
2026-07-05 00:47:56
10
_i.d.r.i.i.s_
Idriis :
Bamkudee... aminia snaa kigogo wetu
2026-07-04 19:33:05
6
mmangawa
Piper :
Didn't the event organizers have information beforehand?
2026-07-05 02:41:13
2
linobi79
lin :
hawa ni vijana wa kwachocha
2026-07-05 03:50:51
2
001_kiddoke
Kiddo.001 :
good work crew
2026-07-05 06:24:50
1
twi.nchy
Mbarak 🇰🇪 :
Siku mbili simu mia tatu naskia 😂🔥
2026-07-05 05:32:58
1
cute_nanah0
🎀cute_nanah🎀 :
arubaini zao zimefika
2026-07-05 05:00:06
1
gladyskochusoi
Gladys Jepchumba :
Wahh. . Dangerous
2026-07-05 04:09:41
1
chefkimaninjenga
Chef kim njenga :
⛽⛽⛽
2026-07-05 01:24:02
1
ummualamin45
Mari•mar :
@Explore Malindi
2026-07-05 03:49:51
0
asadullah.274
ASAD 🇰🇪 :
Nilikua hapo Waah walichapwa venye inafaa
2026-07-05 03:46:22
0
tushnie
Tony Tonie Tone :
choma
2026-07-05 05:38:03
0
lil_torny_
✧ 𝗔𝗡𝗧𝗢𝗡𝗬𝗙𝗫 ✧ :
Wangetuachia hawa!
2026-07-05 05:54:16
0
bretabahati
🎀🌺@bahati🧿 :
@University Vibes
2026-07-05 06:21:26
0
lorna.mnyazi
🌸Mnyazi Lorna🌸🦋 :
so wenye tulipoteza simu twaenda station ama
2026-07-05 06:22:40
0
kashy841
kashy🌸 :
Hao ni wanairobi??
2026-07-05 06:33:35
0
To see more videos from user @premiumseafoodsupplies0_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About