@paza_sauti_media: Amos Hamis, kijana aliyekuwa akijihusisha na vitendo vya ushoga na aliyefahamika kwa jina la 'Aunt Asu', katika mahojiano maalum na Paza Sauti Media, amesema amebadilika kitabia na kuamua kuokoka na kuwa mfuasi wa Yesu Kristo. Amos ameazimia kuhubiri Injili kupitia kipawa chake cha uimbaji ili kuwafikia vijana wengi wanaojihusisha na vitendo kama hivyo, akiwahimiza kuviacha na kumtumaini Yesu Kristo kuwa Mwokozi wa maisha yao. Amesisitiza kuwa vitendo hivyo vinapaswa kuepukwa. Amos pia ameiomba Serikali pamoja na taasisi mbalimbali kumuunga mkono katika juhudi zake za kutoa ushuhuda na kuwa balozi wa kuwasaidia watu waliopotea kurejea kwenye mwenendo unaokubalika na unaoendana na maadili Tanzania. NB: Yafuatilie Mahojiano hayo yapo YouTube Paza Sauti Media

Paza Sauti
Paza Sauti
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 04 July 2026 19:54:34 GMT
34509
886
19
24

Music

Download

Comments

bernadetter001
bernadetter001 :
kina bernadetter tubarikiwe mno🥰
2026-07-05 06:39:54
4
user7368717973329
user7368717973329 :
Amen Mungu yu mwema
2026-07-05 05:17:24
7
dinalonda628
dinalonda628 :
amen
2026-07-04 20:10:21
3
inessbintiemedy
iness binti emedy :
Yesu wetu ni mwema
2026-07-04 21:14:47
5
femmeforte757
Ber Amisi♥️🔐 :
Mungu akupe nguvu
2026-07-05 01:29:53
4
user18332654657282
angel587 :
MUNGU nimwema
2026-07-04 21:30:11
2
rukiya.ahmed42
Rukiya ahmed :
amin mungu mkubwa
2026-07-05 12:19:14
0
sube.kichure
Sube Kichure :
asante kuwa mkweli
2026-07-04 20:05:37
7
waridimapunda
waridi mapunda :
Mungu wetu ni mwaminifu sana 🙏🙏
2026-07-05 06:45:20
3
sheiladiha
sheiladiha :
Mungu huyu
2026-07-04 21:47:04
0
ummu_nadir
ummu_nadir :
kwn huyu ndo Nabii Tito?
2026-07-05 06:41:53
0
phina8583
phina :
Kupitia ww Mungu awaokoe wengine
2026-07-05 14:42:13
0
rizzyhair_tz
rizzyhair_Tz :
iyo mikon vipi izo ndiz choma mkononi
2026-07-05 04:55:27
1
hassanikillo881
Hassani Killo :
nabii tito wa bei ya jioni
2026-07-06 12:57:55
0
mariam11539
Mariam@11>< :
🙏🙏
2026-07-06 17:41:01
0
To see more videos from user @paza_sauti_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About