@rahiqul_iman: Soma Dua Hii Na Fanya Haya Unapo Amka Usiku Ewe Muislamu Kutoka kwa 'Ubādah bin As-Sāmit (Radhiya Allahu 'anhu), kwamba Mtume ﷺ amesema: "Yeyote atakayeamka usiku, kisha akasema: Lā ilāha illa Allāhu waḥdahu lā sharīka lah, lahul-mulku wa lahul-ḥamdu wa huwa 'alā kulli shay'in qadīr. Alḥamdu lillāh, wa subḥānallāh, wa lā ilāha illallāh, wallāhu akbar, wa lā ḥawla wa lā quwwata illā billāh. Maana yake: "Hakuna anayestahiki kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu peke Yake, hana mshirika. Ufalme ni Wake, sifa njema zote ni Zake, naye ni Muweza juu ya kila kitu. Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu. Ametakasika Mwenyezi Mungu. Hakuna anayestahiki kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu ni Mkubwa. Hakuna uwezo wala nguvu isipokuwa kwa msaada wa Mwenyezi Mungu." Kisha aseme: "Allāhumma-ghfir lī." "Ewe Mwenyezi Mungu, nisamehe." Au akaomba dua yoyote, dua yake itajibiwa. Na akitawadha kisha akaswali, swala yake itakubaliwa." (Imepokewa na Al-Bukhari). #muslimtiktok #islamic_video #dua #kenyantiktok🇰🇪 #explore

رحيق الإيمان ✔️
رحيق الإيمان ✔️
Open In TikTok:
Region: KE
Saturday 04 July 2026 19:57:42 GMT
12928
1255
52
261

Music

Download

Comments

r.andomly._
Randomly_ :
laa ilaha illa llah wahdahu laa sharika lahu. lahul mulku walahul hamd wahuwa alaa kulli shayin kadir.subhaanallah walhamdulillah walaailaha illallah, Allahu akbar.
2026-07-05 12:05:28
9
bwiro7
TikTok :
msalani tena ni wapi?
2026-07-08 21:21:10
1
user6721168163027
fashions perfect 001 :
Namuomba Allah anijalie mume aliye ni zidi elimu ili aje awe malimu wngu insha'Allah
2026-07-05 09:51:19
2
aminagalgalu
Amina Galgalu :
jazaak Allah kheir
2026-07-05 11:59:20
2
buy3826392739979
أنوار :
Allah akulipe kheri 🤲
2026-07-04 20:15:33
2
user29797658490133
jamila :
Asante
2026-07-20 15:52:04
1
gibu066
Ghareb Kassim :
S.A.W
2026-07-05 00:44:54
2
daudbakhresa
Daud Bakhresa :
Asante ustadh
2026-07-04 20:01:25
2
moyo2982
shukran Ya Rabby♥️🙏 :
Masha Allah Allah Azidi kukuhifaz daima🥰
2026-07-05 10:35:42
2
munr.kibwn
Munr Kibwn :
inshallah
2026-07-05 09:36:43
2
nina_.663
nina🥰 :
Mashaallah Shukran
2026-07-11 20:43:34
1
user6007559229012
husnah :
shukran
2026-07-05 18:51:00
2
ummah9446
🌹ummah🌹 :
shukran snekhe wangu
2026-07-07 04:06:16
1
huwezielewa001
Mwinyikhamisi001 :
Alhamdhulilah 💯 shukran sheikh
2026-07-05 18:36:37
3
zawadi.muba
Zawadi Muba :
amini🤲🤲🤲❤️❤️❤️❤️
2026-07-13 15:36:43
1
munnah1170
munnah :
Mashallah
2026-07-15 13:41:40
1
user5503463426808
Aisha :
inishaallah
2026-07-05 18:44:39
2
dija.winyi.bhalia
dija winyi bhalia :
Insha Allah
2026-07-06 08:02:55
2
njish1
Asha :
Shukran
2026-07-05 19:31:27
2
ibsithuyodhukana
ibsithuyodhukana :
maashallah
2026-07-05 20:54:44
2
nasrahafidhi690
Ummul kheyr :
maashallah twaib mungu ukuzidishie naakubariki. shukra ustadh. wetu
2026-07-05 19:02:57
2
user2161948717677
user2161948717677 :
Mashaallah Tabarkaallah.
2026-07-06 14:16:49
1
mwanaisha.mohamed54
Mwanaisha Mohamed :
shukran sheikh wetu
2026-07-06 14:23:52
1
najma_shabani
najma_shabani :
shukran jazakallah khery Sheikh 🙏🙏
2026-07-22 19:58:15
1
user1185137539992
user1185137539992 :
Ameen
2026-07-05 18:58:04
2
To see more videos from user @rahiqul_iman, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About