@mamen_nobo: @Dizasta Vina Bible @Dizasta Vina @dizastavina4 @Mtoto wa Dizasta @DIZASTA VINA #dizastavina🔥🔥✍️ #dizastavina🔥🔥🔥 #dizastavina✍️✍️✍️ #trending #creatorsearchinsights

Mamen NoBo
Mamen NoBo
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 04 July 2026 20:24:26 GMT
25140
1463
112
25

Music

Download

Comments

size8064
Size 8 :
mbn me silew namkubali anajua t mk nd ww
2026-08-30 07:27:05
0
just_enocq
Just_Enocq03 :
mimi sio mlevi wala mvuta banging na naweza kukutajia nyimbo ata 20 za dizasta bila kukuna kichwa sasa sijui uyo biya anaongelea nini, ukitaka hiphop soft mchek lunya na rapcha uku kwa vina ni hardcore/real hiphop
2026-07-05 20:30:08
30
123mayaikingoflove
KING OF LOVE :
uongo dizaster tunampenda na nyimbo zake kichwani tunazo
2026-07-05 03:45:22
23
princesslora70
princesslora70 :
Huwezi kumwelewa tunamwelewa wakora tu🥰
2026-07-11 08:21:38
6
bullah2555
Ms graphics :
Na ndo Rapa na msanii pekee mwenye views 1M dakika 10 za maangamizi 💪
2026-08-07 15:12:11
6
salimsamata21
Magoli_21 :
Jenga Jina ila huwezi kuwa na vina ka dizasta....✍️
2026-07-05 06:49:25
6
youngkingone
Honestr..😏 :
we ndio mlev bro
2026-07-05 07:17:37
2
user37160303455288
bulldog jr😡 :
dizasta atabaki kuwa king wa hip hop
2026-08-04 11:01:43
1
vinamadini13
🎨 Vina Artistry :
My favourite hip-hop maker... 🔥🔥
2026-07-05 21:28:46
1
atid1749
atid :
mwaka 2017 nilicoment kwenye nyimbo moja ya disaster YouTube, niliandika the most underrated rapper in tz now? watu wamekurupuka na kufuata mumbo, kila mtu disaster disaster, na unakuta mtu ndio katoka Tu kumsikiliza kwaio ata hip-hop hawaifuatilii, fake wamekuja wengi wanaoimba disaster anthem, this make him to be overrated
2026-07-05 10:04:37
4
bensonpiniel
ngulelo kid🚬 :
hata Fid Q ukimuuliza ni yupi msanii bora wa hip-hop kwa sasa,,, atakuambia ni dizasta vina,,, kwahyo kabla ya kuongea chochote ni bora ungesikiliza kwanza interview ya Fid Q kuhusu dizasta vina
2026-08-02 14:16:50
4
francisraymond251
FRM KONDE :
vina anaeleeka sana
2026-07-05 06:18:02
2
user1145762365428
user1145762365428 :
dizasta mkal
2026-07-05 05:33:04
2
user9430244467779
lizaboni boe :
always vina ni fund tu
2026-07-05 06:56:18
0
kingstonson_999
Kingstonson_999 :
mwandishi yupo sahihi katika angle yake na watu walevi wachache aliokutana nao na kuwauliza kuhusu dzstvn But the good thing ni kwamba mwisho wa andiko lake amekiri kwa maandishi kuwa huyu msanii @dzstvn anayo maajabu mpka amepitiliza🔥🔥. Binafsi Sina kesi nae
2026-07-14 13:58:24
2
obodo_0
B-52 :
nan alisema hivyo
2026-07-05 01:16:01
1
kelvinfelix612
kevy :
Nyimbo 3?? Mi ukipronounce neno moja naliendeleza nyimbo yoyote ile🗿
2026-07-05 10:20:45
2
mwablambo2
massouk :
dizastavina ni namba Moja bongo sio now kuanzia mwanzo. .......am top 2 but am not second
2026-07-05 09:53:51
2
shabaniyampamye61
@B4 :
Asichokijua huyu jamaa, nyimbo za dizasta vina Zina majina rahisi tu, ukisema No body is safe(1,2,3....) , confession of mad(man,teacher,son.....),best friend, Tattoo ya asili, wachezaj wa timu... ngoja niishie hapo nisije kujaza comment section
2026-07-21 08:32:51
1
user7371609837045
Fred sanga :
dizasta, Fid mwenyew anamuelewa
2026-08-18 18:59:37
0
crackbeat_
Crack Beat :
Sina matatoo natembea kwa miguu,👏🏿
2026-08-29 17:26:18
0
joogordon.mwakila
Joogordon Mwakila :
jifunze kumjua mtu usimtafsili mtu kwa vitu anavyo fanya
2026-08-29 13:50:36
0
rickraden.mnyama
Mwakibolwa JR :
shahidi/siku mbaya/ kanisa/tega sikio/best friend
2026-08-26 21:56:34
0
prince.hux
Hussein_👑 :
Serikali hainitambui na ushaidi wangu shule
2026-08-30 08:36:08
0
rama.kipimo
rama kipimo :
hii ngoma inaitwaje
2026-08-24 20:10:52
0
To see more videos from user @mamen_nobo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About