@salimu_alute: Mmiliki wa Azam FC Jamal Bakhresa ametema nyongo na wapo tayari kuondoa timu kwenye ligi kuu na kupeleka timu Zanzibar kutokana na ukosefu wa haki na marefa hawapo fair.

ALUTE MEDIA UPDATES
ALUTE MEDIA UPDATES
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 04 July 2026 20:26:10 GMT
121267
5362
208
133

Music

Download

Comments

zajodan0
ACTION :
Tuliomuona bakresa kwa mara ya kwanza like zenu.
2026-07-04 23:21:16
125
godmneney
GOD ALONE :
bebeni mpaka Azam TV lenuu hatuna mdaa sis
2026-07-05 00:25:14
33
sharak.dauda.dauda
shafk dauda dauda :
miyaka 70 simba yanga simba yanga ligi gani iyo
2026-07-05 04:17:09
16
maikodaudi259
maikodaudi259 :
hawa GSM ndo kahalibu ccm haooo
2026-07-04 22:47:42
16
amos..22
RAMOS~$ :
marefa wanapeda sana hela
2026-07-05 03:59:00
15
edo.kalinga
edo kalinga :
Mzee beba na azamu tv peleka Zanzibar
2026-07-04 23:36:15
17
richplug28
￴￴ ￴￴ ￴￴￴ ￴￴ ￴￴￴ ￴ ￴￴ ￴￴ :
Asa azam Ina faida gan zaid ya energy
2026-07-05 01:26:55
9
nsamafaida
Nasbul wa simba⚽🦁 :
tungesema sisi
2026-07-04 21:53:32
19
ernesth.falaja
Ernesth Falaja :
hata ss Simba tutaenda kenya🥺🥺🥺
2026-07-05 05:19:26
5
tembo_modern_furniture
TEMBO_MODERN_FURNTURE🇹🇿 :
Upo sahihi sana brother big up sana tena utawala huuuu ndio unahalibu mpara wa Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2026-07-04 22:06:11
15
ibraah.shaban4
Ibraah Shaban :
iyo kwel
2026-07-05 05:43:11
1
fedrick.6
FEDRIC :
yupo sahihi malefa wanazingua sana
2026-07-05 06:11:03
1
user1978837282223
Warouby24 :
ligi gani hiii 🏆 simb yang simb yang
2026-07-05 04:56:25
2
ramadhani.kinyuzi
Ramadhani Kinyuzi :
wambie baba wapuuzi sana ao viongozi
2026-07-04 21:36:52
10
rooneykiwelu167
Rooney Kiwelu :
mtu makin Asante
2026-07-04 21:48:06
5
user854234859814
marandamuryarya :
kweri kabisa wanatuhumiza sana hasatebosi safisana
2026-07-05 00:47:11
0
babaomoro
Romz :
kwendraaaaaaa
2026-07-05 01:00:22
0
user6249605846381
herera :
mzeeeee unaongea kwa hisia sana ni kweli kabisaaa
2026-07-05 05:39:42
3
faki7478
mtu mweusi :
Asante sana mim kila siku naumia kwa Jili azam mim hadi siyangali tena simba wala yanga mana unajuwa t kama wanashinda kwa marefa wao
2026-07-05 03:33:36
4
cartoon_dsm
Cartoon DSM :
hamisheni
2026-07-04 22:23:21
4
dee.classic_
dee.classic_ :
Ai
2026-07-05 03:33:53
2
ma.p755
ma p :
mzee kaongea kwa hisia sana
2026-07-05 05:29:57
1
juma.ally524
Juma Ally :
upo sahihiii
2026-07-04 22:02:41
4
djbonimrmisondo
DJ BONI MR MISONDO🇹🇿 :
kweli azam anaonewa sana. katika mechi zake za ugenini
2026-07-05 06:12:09
1
To see more videos from user @salimu_alute, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About