@jamiivoice_: MICHEZO: Mmiliki wa Azam FC, Jamal Bakhresa, amesema yupo tayari kuiondoa timu hiyo katika Ligi Kuu Tanzania Bara na kuihamishia Zanzibar, akidai kuwepo kwa ukosefu wa haki katika uendeshaji wa ligi. Bakhresa amesema uamuzi huo unatokana na kile alichodai kuwa ni waamuzi kutotenda haki katika baadhi ya mechi za timu hiyo. Amedai kuwa iwapo hali hiyo itaendelea, Azam FC ipo tayari kuondoka kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara na kuhamia Zanzibar.

Jamii Voice
Jamii Voice
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 04 July 2026 20:51:16 GMT
75105
3297
177
467

Music

Download

Comments

abdallah.mohamed8162
Abdallah Mohamed :
hv kama atasema haoneshi tena mpira kwenye tv
2026-07-04 22:36:25
27
kilolile
kilolile jr :
anaitwa jamal bhakresa ni mtt wa bhakresa
2026-07-04 23:10:45
12
mdegelatravis
Blessed boy🙏🙏🥰 :
Let him goo
2026-07-05 02:58:45
0
user3669322740320
one way 🧭 :
huyu sio bakhesa
2026-07-05 04:18:43
2
ghamidhassan
comred wa zanzibar :
karibu zanzibar huku ndio kwenu mzee
2026-07-05 03:06:08
4
jux.znz
Sultan Znz :
nikweli ligikuu marefa wanapendelea simba na yanga tu
2026-07-05 04:26:01
2
keizercacar
keizer john :
ile mechi ya Yanga na Azam majuzi kilitokea nn?
2026-07-04 22:24:34
7
beingsms
sms :
Sio bakhresa
2026-07-04 22:31:23
10
diu_73
Big daddy :
HAMENI TENA MMECHELEWA SANA
2026-07-04 22:15:19
5
faridakilango
Farida Kilango :
huyo siyo bakhresa
2026-07-05 00:50:10
2
pipy_tz1
It’spiii🫧🦋 :
Mzee umeongea sahiiiiii
2026-07-04 23:14:05
6
estherntara
estherntara :
mi naomba usioneshe tena mpila
2026-07-05 02:37:55
3
user9805939591392
Sativa🍁 :
unasusa ,susaaa
2026-07-05 01:35:14
2
shabanisudi151
Shabani Sudi :
hata mimi Ni Azam. nawapenda Azam. Azam ndiyo timu kubwa Tanzania.
2026-07-04 22:17:47
6
muuh423
muuh..✅ :
sio bakhresa huyo
2026-07-04 23:45:52
0
shax1238
Shax Mo :
welcome dstv
2026-07-05 00:43:04
0
kalanga682
KING,@SiRiA :
exactly
2026-07-04 23:33:14
0
amerodydickson212
Amerodydickson12### :
main point
2026-07-04 22:28:21
0
user72800758844886
user72800758844886 :
Simba kalalamika sana marefa hamkuelewa
2026-07-04 22:00:43
16
user3902443247024
user3902443247024 :
nikweli huo ndio ukweli mm ni yanga ila huu ndio ukweli
2026-07-05 02:53:31
4
oshivasamsoni
de_osooo :
ni kweli baba
2026-07-04 23:35:22
2
jabaijililijoka56
Jabai Jililijo Kanuda :
Hamisha tu mzee
2026-07-05 02:21:37
2
ashura.chamwana
Ashura Chamwana :
sawa Mzee wamejisahau sana
2026-07-05 02:28:55
0
allysalum183
maharoo :
umezikuta
2026-07-04 23:39:47
4
monnjuki
monnjuki :
ni kweli kabisa Mzee hongera kwa kuliona Hilo
2026-07-05 03:19:48
3
To see more videos from user @jamiivoice_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About