@saadalgarni969: #اكسبلورexplore #المجمعه_الزلفي_الغاط_الارطاويه_الرياض #تصوري📸 #الشعب_الصيني_ماله_حل😂😂🙋🏻‍♂️

سعد القرني
سعد القرني
Open In TikTok:
Region: SA
Saturday 04 July 2026 22:09:12 GMT
2087
338
4
11

Music

Download

Comments

abu.firas
abu-firas2003 :
الموسيقى : نفس مسلسل دمعة عمر والا أنا غلطان
2026-07-05 01:51:46
1
wwwallmfove
Alanood :
👍👍👍
2026-07-09 15:58:30
1
yllciu
حكايه طيف :
👌👌
2026-07-09 16:05:44
1
To see more videos from user @saadalgarni969, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Zao la kiuchumi mahindi yanachangia asilimia 74.3% ya uzalishaji wa nafaka nchini Tanzania hii imepelekea Unga wa mahindi kutumika kutengeneza chakula maarufu kwa jina la ‘ugali’.  Biashara ya kusaga mahindi imevutia wawekezaji wa kati na wakubwa kwenye masoko ya kitaifa , kikanda na kimataifa kwa bidhaa zao na kufungashwa. Wasagishaji  pia huzalisha unga wa mahindi wa madaraja na maumbo tofauti kwa matumizi ya binadamu ni pamoja na dona iliyosagwa kutoka kwa nafaka nzima na sembe - iliyotengenezwa kutoka kwa nafaka iliyokatwa ( Kukobolewa )  SAMAI AGRO Imewaletea  Kiwanda cha kusaga Unga wa Mahindi Katika Mfumo ili kuwezesha uchakataji, ubora wa bidhaa kua maradufu zaidi pamoja na kuongeza kasi ya  uzalishaji kua kubwa zaidi kwani uchakataji umekua ni automatic. MAIZE FLOUR MILLING PLANT. Uwezo: 20Tons/ Kwa siku. MFUMO UPO KAMA IFUATAVYO ⬇️⬇️ 1. Sehemu ya kwanza ya video kutoka kushoto kwenda kulia ni Bucket area ambapo mahindi huwekwa na kupandishwa na mashine itwayo (SCREW AUGER ); Hapa mahindi hupandishwa juu na kuelekea kwenye mashine ya Kupepeta na kusafisha. 2. Sehemu ya pili ni mashine ya kupepeta (Shaking Table);  Hapa mahindi hufika na kutenganishwa na mawe, mabunzi, vyuma, mchanga na takataka mbalimbali kwa maadalizi ya kwenda kuloeshwa na kwenda kwenye mashine ya kukoboa. 3. Sehemu ya tatu ni mashine ya kusafirisha mahindi ( Screw Auger); Hapa mahindi huloeshwa na maji kidogo na kusafirishwa kwaajili ya kukobolewa. 4. Sehemu ya nne ni Mashine ya Kukoboa ( 4RD ); Hapa mahindi hupata kukobolewa kwaajili ya kupata mahindi ya sembe na makande.  5. Sehemu ya tano chini ya mashine ya kukoboa ni mashine ya kusafirisha pumba ( Bran Auger): Hapa pumba hutolewa kwenye mashine ya kukoboa na kupelekwa pembeni kwaajili ya kuhifadhiwa 6. Sehemu ya sita ni mashine ya kusafirisha ( Screw Auger ); Hapa mahindi yalio kobolewa husafirishwa kwenda kuhifadhiwa kwenye Tank kwa maandalizi ya kusagwa. 7. Sehemu ya saba ni Mashine ya Kusaga mahindi (  100HM Maize milling ); Hapa mahindi hupatwa kusagwa na kuelekea kwenye mtungi kwaajili ya kupata unga.  BEI: 25M ( TSHS. ) BOOK YOURS NOW 📥📥 📞| 0746498349 📍| TABATA DAMPO, DAR ES SALAAM

About