@wepesitv: Mmiliki wa Azam FC Jamal Bakhresa ametema nyongo, asema wapo tayari kuondoa timu kwenye ligi kuu na kupeleka timu Zanzibar kutokana na ukosefu wa haki na marefa hawapo fair.

WEPESI TV
WEPESI TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 05 July 2026 03:41:33 GMT
12258
530
33
16

Music

Download

Comments

elizabethmichael22
elizabethmichael366 :
kwel kabisa Azam wameonewa kabisa
2026-07-05 08:31:22
4
herieth938
Herieth93 :
hakuna timu ambay haijadhurumiwaaa
2026-07-05 08:48:03
2
user7737982056942
saidi :
uposahihi kabisa wamewanyima penati
2026-07-05 07:39:13
4
ngessi75
TanzaniaNjema :
ONDOKA
2026-07-05 08:41:23
2
user4476159912911
nasibu :
acha mihemko mzee
2026-07-05 08:11:02
0
userahmed065564
Ahmed :
mzee yupo sahihi
2026-07-05 08:32:45
1
user8349786694290
user8349786694290 :
nenda kaswali
2026-07-05 09:33:02
0
nyegeretv
NYEGERE TV :
kweli kabisa mzee upo sahihi sana mzee
2026-07-05 07:23:11
1
babu85744
BABU :
mzee uko sahihi
2026-07-05 06:33:48
1
user9252682907097
fady :
UNGESHINDA JAN USINGE SEMA IV
2026-07-05 09:17:03
0
mezza.deniss
Mezza Deniss :
mzee ukizungumzia udhamini ungetulia unatuibia sana kupitia azam tv
2026-07-05 09:16:44
0
sababu.tu1
Sababu 🙉 :
Kabs
2026-07-05 06:46:00
0
360chogo
Juma chogo :
kweli kabisa
2026-07-05 07:24:11
0
user3659323862681
filemon gusanka :
kbsa
2026-07-05 07:07:43
0
user2712813361937
user2712813361937 :
me mwanasimba ukiachana na mpira wa Jana anachokiongelea mzeaa ni sahihi
2026-07-05 07:56:46
2
user3037340667249
user3037340667249 :
sijui marefa wa bongo wanasomeaga wapi
2026-07-05 07:31:15
1
jumabakar93
jumabakar :
naunga mkono
2026-07-05 07:52:42
1
sukari5638
Sukari :
kabla hamjajifunga final hamkuyaona haya unayoyazungumza sasa
2026-07-05 07:38:45
1
kidalipambe
kidalipambe :
nahisi tutarudi kulekule kuangalia mpira i t v na t b c
2026-07-05 09:09:08
0
user7365721834424
Shaibu SHAGGY :
Mpira autak siasa
2026-07-05 08:04:32
0
khameneialzagawiy
Khamenei Alzagawiy Mohd :
ondoka tu na dstv tunampa tenda ya kuonesha ligi ww utaangalia kombolela na wala urojo
2026-07-05 09:05:47
0
shakman384
shakman :
toen na viwanda vyenu
2026-07-05 08:56:57
0
lufunguloz
z B :
ulitaka azam ashinde kombe gani sasa 😀😀😀😀 timu mbovu
2026-07-05 08:45:20
0
hamisimbega
DirectorMkubwa(bobo) :
mzee kaongea toka uvunguni wa Moyo,ila bongo Nyoso sana🔥
2026-07-05 08:02:34
0
user6144176972614
user6144176972614 :
kweri kabisa
2026-07-05 07:25:51
0
To see more videos from user @wepesitv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About