@q.mediatz: Mbunge wa Kigoma mjini @officialbabalevo jana katika Show ya @diamondplatnumz Retro Tour Arusha alipanda na wakaimba pamoja wimbo wao wa Amen Baba Levo hakuwa na hiana alifanya kile ambacho hukifanya marazote anapokuwa jukwaani ana tumbuiza ——————————————— Karibu kutangazi nasi biashara yako kwa Bei nafuu sana. Wasiliana nasi +255 688 986 518 ••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• #QmediaTz #Qentertainment
Q.mediaTz
Region: TZ
Sunday 05 July 2026 04:02:31 GMT
Music
Download
Comments
Mercury :
mbunge tunaye au hatuna
2026-07-05 07:36:30
96
Lilema_tv :
yaani diamond na mwanawe wanajiamulia mambo
2026-07-05 07:49:12
154
allykijogoo :
chuma cha bodaboda 👍👍👍
2026-07-06 17:55:57
0
Dad's Travis :
ila baba levo hela anaitaka😁👑🔥
2026-07-05 08:00:05
59
watupoa_brand :
Unapambani tonge 😅
2026-07-05 12:12:48
26
ashy :
urafiki wa bonge na mwembamba unadumu sana🥰
2026-07-07 06:45:46
0
Agneta den utvalda 🇹🇿🇸🇪 :
As long amenyooka ktk maisha na majukumu tunampenda jinsi alivyo 🫡
2026-07-05 13:46:00
23
trida :
uchiz umeamka😳
2026-07-05 11:04:03
10
user9392816533144 :
Amn kit apo
2026-07-05 18:13:46
2
Jan Boe Mayai :
Nalikubali hili Jitu baba levo
2026-07-05 07:34:55
13
Joro@khan :
dalili za mimba plz
2026-07-05 12:34:51
1
ABDUL HAFIDH PEACE :
Hadi rahaa urafik Wa D na B
2026-07-05 10:25:09
9
Mis ree official 🍫🍦🧋 :
alikuwa mkoa Gani jmn
2026-07-06 05:43:25
0
zephani wz :
2026-07-05 11:30:05
4
nurdeen :
wabunge wa Tanzania
2026-07-06 20:53:54
1
RIHANE :
Mitano Tena Mbunge🖐️
2026-07-05 19:15:59
2
eliyapaluku :
mubunge uyu
2026-07-05 16:45:52
2
Djei da ana arde :
Nimefulai sana Simba 🦁🦁🦁 Moçambique
2026-07-05 14:41:56
2
Amiranjo pozzyy :
mwijaku anatamani ni yeye
2026-07-05 16:11:48
4
DJ Black :
safi sana
2026-07-05 14:57:25
1
JOYICE SHIJA :
mbunge
2026-07-05 10:59:23
1
Fabinho :
hahahaha
2026-07-05 07:30:15
0
MR POLITE :
mbunge hapa tunaye respect kwake nakukubali sana
2026-07-05 10:37:39
2
To see more videos from user @q.mediatz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.