@fundipaparazzi: WANANCHI WA IKUNGWE WAMPIGA MBUNGE WAO 'MKWARA MZITO' Wananchi wa vijiji vya Ikungwe, Ihomasa, Wasa na Mahanzi, Kata ya Wasa wilayani Iringa, wameiomba Serikali kuharakisha utekelezaji wa miradi ya maji ili kumaliza changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama ambayo imeendelea kuwaathiri kwa muda mrefu. Wananchi hao wametoa ombi hilo Julai 4, 2026 wakati wa mikutano ya hadhara iliyofanyika katika vijiji vyao, wakieleza kuwa upatikanaji wa maji ni miongoni mwa changamoto kubwa zinazohitaji ufumbuzi wa haraka ili kuboresha maisha na shughuli zao za kila siku. Akijibu hoja ya maji, Kiswaga amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea kuwekeza katika huduma muhimu, ikiwemo maji safi na salama. Ameongeza kuwa changamoto ya maji katika Kata ya Wasa imepokelewa na itaendelea kufuatiliwa ili kupatikana suluhisho la kudumu kwa wananchi.

Fundi Paparazzi
Fundi Paparazzi
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 05 July 2026 06:35:23 GMT
22354
661
24
53

Music

Download

Comments

gold_perfumes_cosmetics
gold_perfumes_cosmetics :
Hakunaga muhehe falaaa🥳🥳proud to be hehegirl 💃🏽
2026-07-05 21:17:19
6
saki26_oficial
saki26_oficial001 :
ila wahehe nawapenda sana familia yang
2026-07-05 18:41:02
6
bahati.msigwa8
maiko msigwa :
wabena hoyeeee
2026-07-05 08:07:28
3
user2934902681312
kibuga devota :
wahehe oyeeee safi sana kaka big up
2026-07-05 19:34:56
2
mbwana.lihinda4
Mbwana Lihinda :
safi sana wanyalu wenzangu
2026-07-05 19:16:26
1
mcmpoma
Mc Mpoma :
waheh ndyo sisi jmn
2026-07-06 00:20:44
0
mr.hk359
Mr HK :
Familia 🥰
2026-07-05 19:05:27
0
archbody5
Archbody :
safi sanaaaa wananchi wameenza kupaza sauti
2026-07-05 16:06:24
0
lusekelocharles30
mmojawapo :
kesho utasikia haonekani
2026-07-05 14:52:00
3
salva_g_classic
Salva G Classic :
mitano tena
2026-07-05 16:39:12
1
kimdee87
kimdee87 :
Shangaz yang yule maeeeee
2026-07-05 21:51:02
0
best.seme0
Best :
Kiba Umulonjeee
2026-07-05 18:54:34
0
hr.mselabilakuchoka1
Tz+255 EFA 🇹🇿 :
bado 😂
2026-07-05 18:53:01
0
subira39
Subira :
nachoka mimi
2026-07-05 18:43:09
0
mr.phani5
PHANI :
ulonzilee hilo vee baba
2026-07-05 17:47:14
0
obadia.mwazembe
obadia mwazembe :
🤣🤣nachenee
2026-07-05 18:02:57
0
nabii.wa.family
Nabii wa family :
daaah nikweli kabisa maji hatuna
2026-07-05 17:31:08
0
klw732
KANGEMI BRYTONIC :
uyoo mudesi vayangu
2026-07-05 16:51:41
0
nabii.camara
Nabii Camara :
Kumbe ndo kwao huko??
2026-07-05 20:53:02
0
To see more videos from user @fundipaparazzi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About