Nyie mueleweni huyu dada mama zetu hawataki kubadilisha bishara … mama zetu wanataka kuona hatua zetu zikiwa mbali mafanikio yetu ndio furaha zao … Mimi mama yangu nilimpa mtaji wiki moja akaniita amepata kiwanja niongezee pesa ninunue kiwanja kwakutumia mtaji niliopa …. Ko hyu dada namuelewa sema Tanzania 🙌🙌🙌
2026-07-05 10:17:19
164
kipepeo1 :
kwanza wanajua tabu ya kupata meza sokon?
2026-07-05 12:34:07
15
diana :
umejibu kwa hekima sana mdogo wangu 🥰
2026-07-05 07:29:31
110
zeysha hatibu :
🥰🥰🥰 achana nao mm mwenyewe mteja wake mm muuza supu
2026-07-05 10:14:08
22
Minaa The boss :
umejib vizur sana kipenz❤️
2026-07-05 13:02:25
8
Aunty Anne 💕 :
HAKIKA UMEONGEA POA
2026-07-05 07:03:08
70
ER. collection :
hongera kwa kuwa na mama anayejitafutia
2026-07-05 07:14:46
44
Dines_George :
Leo Nimeamua Kulike Na comment Umeongea Point Sana Mwanangu 🥰🥰
2026-07-05 11:25:56
18
Phiner🌸✨ :
AKILI MINGI MANENO YA HEKIMA SNA🥰
2026-07-05 08:48:19
25
neyie_trends :
karibuni mpendeze🥰
2026-07-05 11:17:35
10
Miss Dolli🍂 :
Kumbe unakuaga na busara ivi❤️
2026-07-05 10:43:56
21
jasmine :
usipende kujieleza saaaana unawapa faida ya nn tunajua unavyopambana nakupenda
2026-07-05 14:35:47
7
Maria Sanga :
nimekupenda kwa maneno yako mazuri
2026-07-05 11:05:16
16
Momy Official ❤️ :
10/10 nalipa chap
2026-07-05 06:51:55
15
--Reen--🥰🥰 :
NIMEPENDA KAULI YAKO🙏🙏🙏🙏
2026-07-05 07:08:32
26
idde💀 :
uuuuuuuuuiiiiiiiiiiiii
2026-07-05 07:49:54
10
Asha Mussa :
ila mai ni mbeya sana
2026-07-05 08:46:52
8
P, muuza urembo :
hongera my mi nimependa majibu yko
2026-07-05 08:11:09
11
Mrs dawson :
majibu mzuri🥰🥰🥰
2026-07-05 07:36:58
13
Minah medics💉💊 :
me mwenyew nataman mama angu asiwe ananiomba ela🥺
2026-07-05 10:38:49
7
Daphne🦋🌹 :
Acha nao pipy cha muhimu mambo yenu yamewanyoookeaaa
2026-07-05 08:24:26
12
Rosemary Rwabibi :
unaweza ukawa na msingi usiwe na support sure jamn
2026-07-05 11:30:10
18
Baby🦋💚💦💦 :
wakwanza leo
2026-07-05 06:50:06
6
Khalila Abbas :
umewajibu vizuri sana, wala usiwaelezee sana, wanapenda kuhisi ni kumdhalilisha mtu
2026-07-05 08:36:05
12
To see more videos from user @pipytida.officially, please go to the Tikwm
homepage.