yani wamemkosea xana mama yani nime umia mno 😭😭😭😭😭
2026-07-05 07:31:57
316
bimzuri😇❤️ :
Hello doctor kaanza tena
2026-07-05 07:01:48
300
Donny_king26 :
Msadie mama yakooo acha makelele
2026-07-05 14:11:10
155
Minnah😊 :
kwel tena huy maimatha anajiendekeza yul mama
2026-07-05 07:36:01
114
achuu store tz :
Mpe pole sana mama🙏...mwambie ndo binadamu hao🙌
2026-07-05 07:34:42
54
Malkia wa fursa 🇹🇿 :
Nitampa kindoo cha malimao kutoka shambani kwangu🤗
2026-07-05 08:14:47
44
Lilian kisaka :
pia mimi nimeumia sana jman usipende kulinganisha maisha ya mtandaoni na kawaida
2026-07-05 11:47:54
32
🍁 :
watu wanashindwa kutambua kuwa watu wengine wakipata pakubwa awasaahau walipoanzia mfano mama apo ndio maisha yake na ndio anapojipatia kipesa chake yeye mwenyewe na anapaheshimu kama kila mtu anapoheshimu sehemu anayopatia riziki mpe pole mama mwambie ya duniani tutayaacha yeye azivunjike moyo awaombee tu wanaozalau wenzao azindi kuipenda biashara yake maana ajawai kuomba chochote kwa mtu wala mitandaoni ni mapito tu😍😍
2026-07-05 14:37:19
31
Light Collection :
maimartha umefika mbal tokaaaaaa
2026-07-05 13:11:49
21
Shaby_Mkemia :
Ulishajiuliza kwann hataki msaada wa pesa yako..!?
Hakuna mzaz asiependa kusaidiwa na watoto zake sema ni jinsi ya hizo pesa zako unavyozitafuta ni sehemu ya maumivu yake maana anaona unamzalilisha kimwili mpaka malez yake yanaonekana ajakuelea vzr..
Badilika kwanza wewe kisha omba msamaha kwa mama ako juu ya maisha yako unayoyaish ya kimtandao
2026-07-06 03:43:13
19
flowers luxury wig :
maimatha kazid jmn
2026-07-05 15:25:36
19
official linah :
kwaiyo
2026-07-05 12:31:20
18
spiffer :
achana nao
2026-07-05 07:27:55
13
Aline Esther Aline Esther :
kumbe una mama mwanetu
2026-07-05 19:33:54
12
Hido_Likeable🦋 :
20/20 njoon🥲
2026-07-05 08:29:37
9
* :
10/10 nalipa now
2026-07-05 11:37:23
9
hikmet dady 😎 :
umasikini unadhalilisha jamani tutafute Hela
2026-07-05 06:52:11
8
fazzesty driller :
kwaio sie tufanyaje?
2026-07-06 19:26:53
5
Reyan ❤️💋 :
pole kipenzi kunawatu wanapenda kukulupuka sanaaaaa
2026-07-05 07:26:21
5
Silent Choppa tz :
nani kakutuma
2026-07-05 12:03:52
5
To see more videos from user @pipytida.officially, please go to the Tikwm
homepage.