@clickmaster_1: Ni rasmi! Naianza safari kutoka Dar hadi Mwanza kwa baiskeli kwa ajili ya Nandy Festival! 🏁 Upendo wangu kwa wana wa Mwanza ni mkubwa, nakuja kuwasherehesha na burudani ya hatari! ⚡ Alafu mwanajeshi wenu nakuja kuwasaidia kudai madeni yenu yote huko….Andikeni orodha...📜 nikija ni AMBUSH!!!! 🥷🔥🔥🔥 Tukutane tar 11 Julai || The Climax #nandyfestival #clickmaster #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktokmwanza #Sherehe
Click Master
Region: TZ
Sunday 05 July 2026 07:16:49 GMT
Music
Download
Comments
frank lugumione :
camera man basiiii
2026-07-05 07:40:27
32
GENIUS :
fundi
2026-07-05 07:37:34
4
Official Kellykana98 :
best cameraman in the world
2026-07-05 08:46:43
2
✨it's lee🖇 :
wa kwanza
2026-07-05 07:33:31
9
wema 🌹😍 :
Naomba usiniache tajir 😁😁😁
2026-07-05 07:43:24
6
Baba Suu +254 :
top fan from kenya
2026-07-05 08:19:44
2
IdrissaMichael :
vp
2026-07-05 07:34:18
3
it's v❤️❤️❤️❤️ :
nitag please wakwanza
2026-07-05 07:33:16
4
nard_theboy :
sawa broooo💯💯💯
2026-07-05 07:33:36
3
official sabay :
kak unajua sana God bless you
2026-07-05 07:34:43
9
LYOBA ☑ :
6/6
2026-07-05 08:30:54
1
SESKO 👑 :
umetisha sana kak 😂🤣😂
2026-07-05 07:38:53
7
Moda Malee LTD🛜 :
Nakubali sana mkali wangu 🔥🔥🔥
2026-07-05 07:33:37
4
Flocky 💦💦 :
karibu brother
2026-07-05 07:49:25
2
Khan Verse ✨🙏 :
Nakubali kaka master mungu akubariki kila sikuu👏👏👏🔥
2026-07-05 07:34:51
3
onesmo 💅 :
Hiyo camera noma
2026-07-05 09:00:10
1
EGM1995 :
hio camera😂😂😂
2026-07-05 08:06:42
1
Mr_Taper :
keep going bro
2026-07-05 07:45:02
1
Pale Fam :
hooo wa kwanza😁😁😁
2026-07-05 07:38:30
2
mr winner :
kimbiza babaaaa
2026-07-05 07:42:54
1
The Falcon Motors :
all the best mzee kwenye hatua zako . hard work pays . usisahau hizi njia ukishakuwa mkubwa
2026-07-05 08:23:51
1
halaida :
kaka una ubunifu mwingi sana...kila la heri
2026-07-05 08:17:54
1
the bestky :
sio kuimba ty hata kuigiza🔥🔥
2026-07-05 07:52:50
2
BULONGO BRADS☠️ :
courage
2026-07-05 09:17:12
0
To see more videos from user @clickmaster_1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.