@amyamma17: Ulikua ni wakati mzuri sana tuliishi kama familia,ndugu,jamaa,marafiki binafsi nimejifunza mengi kwa muda wote nlio ishi hapa nimejuana na watu wengi nimepata connection nyingi na yote kwa yote pameni badilishia maisha kwa kiasi kikubwa na naamini kwa uwezo wa MUNGU huu umekua mwanzo mzuri wa mafanikio yangu nikisema niwashukuru mmoja mmoja siwezi kuwamaliza ila kila alie husika kuni pambania sina cha kumlipa ila MUNGU ndo anajua byebye sojo gang byebye MCPY 9