@phoibe_mbaga: Hekma husaidia kutambua Thamani ya kitu ulicho nacho, omba sana Mungu akupe Hekma 🙏🙏 #fyppppppppppppppppppppppp #tiktoktz🇹🇿🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #ugandatiktok🇺🇬 #tiktokcongolais🇨🇬🇨🇩
Phoibe Mbaga 🇹🇿
Region: TZ
Sunday 05 July 2026 07:46:25 GMT
Music
Download
Comments
Ally mdoe :
Mungu azidi kukulinda phoibe. hakika Kila mara nipo apa ninafarijika sana
2026-07-06 06:56:50
1
mmamba :
Dah thanks a lot dear 🌹
2026-07-07 15:05:14
0
Chacha Ritchard :
correct✅✔
2026-07-08 03:09:54
0
user4502715474908 :
nkwali mtoto wa mungu
2026-07-05 18:34:11
1
geofreymwafinga :
kabisa dada
2026-07-06 19:02:49
0
Bright mwaulambo :
asante sana kwa kututia nguvu wanaume
2026-07-05 17:44:22
1
Mwanza Best Tz🇹🇿 :
Fact
2026-07-07 20:04:29
0
Salama Kazimoto :
daaaah uko sasa sana dada
2026-07-07 08:36:31
0
Murex07Jason :
kabisa 👍
2026-07-05 17:38:14
0
Arish .KJ :
waaambieeee
2026-07-07 09:55:57
0
user272540959572 :
dada yangu unatuambia vizuli sana nakuelewa. sana dada
2026-07-06 18:49:37
0
user7447340610062 :
wambie ukwel dada
2026-07-07 18:53:18
0
jabiri Abuu juma :
Allah akuzidishie
2026-07-06 08:12:30
0
magwa :
kweli dada
2026-07-05 19:57:52
0
francinekagamba :
asanta sana
2026-07-05 18:23:46
0
Amour Bella :
kwel dada anguu naamin maneno yako
2026-07-07 18:06:32
0
chikurumapendo681 :
kazi njema
2026-07-05 15:31:59
0
Ramadhani Halfa :
Yani we dada inatakiwa upate ulinzi maana kwa hayo maneno ni ukweli mtupu
2026-07-05 17:30:54
0
TBTMOVIE1🇹🇿 :
neno ningejua huja mbele ya safari✍️
2026-07-08 10:06:29
0
unlucky :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-06 11:54:02
0
Jacobo Mang'era :
😂😂
2026-07-06 18:06:24
0
Cosjo :
😤😤
2026-07-05 18:28:52
0
LIv :
@🥰🥰
2026-07-05 19:13:23
0
Medymedy Mbiki :
🥰🥰🥰
2026-07-07 10:54:15
0
To see more videos from user @phoibe_mbaga, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.