@eindigitaltz: Msafara wa kibabe sana wa JAYRUTTY akiwa na Bus la IRIZAR Wakielekea AIRPORT kwenye Mapokezi ya Timu yao na kombe la CRDB CONFEDERATION CUP Na Kufanya Parade La Ubingwa Endelea Kubaki Na sisi Tunakuletea Kila tukio linaloendelea Kwenye Mapokezi Haya ya SIMBA SC Na Parade Kwa Ujumla Mtazamo wako ni upi kwenye hili?, Tupe MAONI Kwenye Comment Follow @CHEMCHEMI YA KIDIGITALI #eindigitaltz #einupdates #trendingvideo #fyp #sports