@islamic_rihla: Baraka ndani ya ndoa hujengwa kwa mapenzi, huruma na kutendeana wema kwa ajili ya Allah. Mahusiano yanapoimarika kwa msingi huo, dua na maelewano huwa sababu ya kuongezeka kwa kheri katika maisha. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH OTHMAN MICHEL 📌 Fuatilia Islamic Rihla kwa mawaidha, nasaha na mafunzo mbalimbali ya dini. 🔄 Sambaza kheri hii ili wengine nao wanufaike. 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #islamic_rihla #islamicvideo #uislamu #islamic #islamic_rihla 🟠 FOLLOW US