@sospeter_mwageni: Shukuru Mungu Kwa Kila Jambo, Maana wapo watu ambao wanapitia Changamoto Nyingi, Siku ambayo utaona Changamoto zao, Basi utasema hakika wewe hauna Changamoto,. Mungu Akubariki sana wewe unayetazama video hii🙏 #gospel #trendingsong #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktokcongokinshasa🇨🇩🇨🇩🇨🇩 #foryou
Kama unaamini Mungu ndo Kila kitu katika maisha Yako andika AMEN and like 🙏🙏
2026-07-06 08:02:13
76
Birahma Swalehe :
yaan ww kaka mungu akutangulie sana katika kila jambo inshaallah
2026-07-05 08:54:27
114
cute smile🥰 :
Nyimbo zako huwa zinanikumbusha kumshukuru Mungu kwa kunipa uhai japo hajanipatia mme tuuu
2026-07-05 14:10:27
56
athumanmtondo :
akika mungu mwema daima unatumia Sanaa yako vizur kabsa kuanzia Leo nimekua shabik yako wa dhati
2026-07-05 11:40:58
30
RUBY :
Jamani nimekuona keo ila huwezi amini huu wimbo nimeusikiliza toka saa 12 asubuhi hadi saa 3 asubuhi MUNGU akubariki sn mtumishi make ni ujumbe mzito sn barikiwa sn kwa kila jema Amina
2026-07-07 05:45:05
5
Dkt Isaya Deo :
ubarikiwe kwa wimbo mzuli kijana
2026-07-05 13:58:27
7
Muddy5o56 :
Mungu awajalie,, wote waende. pahali pema
2026-07-07 19:06:30
6
Nyamish :
Very strong msg , keep it up......
2026-07-07 17:00:51
1
tabbymwaura41 :
Blessed one 🥰🥰🥰🥰
2026-07-07 16:44:44
1
Baraka :transportation :
Hakika sifa na utukufu apewe Mungu,,,umeimba vizuri sana kaka siwezi kukunyima like
2026-07-05 12:43:46
13
Ivan Mwasamale :
mungu akulinde kaka
2026-07-05 18:52:37
3
anna :
dah! nimekosa ata cha kusema lkn mungu akubari
2026-07-05 18:55:28
10
It’s Rithah❤️ :
Bado najiula hivi Sos ulikuwaga wapi??aiseeeh unajua sanaaa bro ♥️♥️🙏
2026-07-05 14:26:27
5
lucy juliusi :
kaka nkupenda bure mungu akutunze
2026-07-07 15:23:45
1
eristancekasonia7 :
asante
2026-07-05 13:02:50
2
Irene .H. macha :
Mungu akubarik San kaka 🙏
2026-07-05 11:56:45
2
annastasideus :
Kaka sospeter Mungu akupe neema
2026-07-05 11:56:15
1
salima tambwe :
mungu akulinde kaka 🙏🙏🇨🇩🙏🙏
2026-07-05 11:06:15
1
Junior machubulwa :
umetisha kiongozi
2026-07-05 11:48:45
1
To see more videos from user @sospeter_mwageni, please go to the Tikwm
homepage.