@axndl7: Roando Cười 😍🔥|#ronaldo #cristianoronaldo #football #aftereffects #phonk #vrial #reverse #fy #edit

Axndl
Axndl
Open In TikTok:
Region: VN
Friday 10 July 2026 00:20:00 GMT
1124
27
3
0

Music

Download

Comments

To see more videos from user @axndl7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Sababu 2 Za Mtu Kuwa na Kiburi Mnapotaka Kuachana — Hakunaga Kiburi Kisicho na Chanzo Chake Wakati mwingine migogoro katika mahusiano hufikia kiwango kikubwa kiasi kwamba watu hufikiria kuachana.  Kinachoshangaza ni kwamba unaweza kumkuta mmoja akiwa na kiburi kikubwa.  Haonyeshi utayari wa kujishusha, kutafuta suluhu au kufanya jitihada za kuokoa uhusiano.  Mtazamo wake huwa ni, “Likiharibika, basi na liharibike…Liwalo na Liwe” Kwa uzoefu wangu, kuna sababu mbili kuu zinazoweza kumfanya mtu awe na kiburi katika hatua hiyo. Sababu ya kwanza ni matumaini ya kupata mtu bora zaidi kuliko wewe.  Mtu anaamini kwamba mkiachana, atapata mwenza mwenye sifa zinazokuzidi.  Haoni kuondoka kwako kama hasara, bali anaona umeacha nafasi ambayo itajazwa na mtu bora zaidi.  Wakati mwingine hata tayari ana mtu akilini mwake anayemwona anaweza kuchukua nafasi yako.  Anaweza kuwa rafiki, mfanyakazi mwenzake au mtu anayemfuatilia kwa muda.  Imani hiyo humfanya asiwe na hofu ya kuachana. Mara nyingi watu wa aina hii hurudi wakiwa wanyenyekevu pale wanaposhindwa kupata yule mtu ambaye walidhani angekuwa bora zaidi yako. Sababu ya pili ni kuamini kwamba wewe ndiye utakayerudi.  Wapo watu wanaoamini kwamba, licha ya kuachana, mwisho wa safari utawakumbuka na kutamani kurudiana nao.  Wanaamini hakuna mtu mwingine atakayekupa kile walichokuwa wanakupa. Hivyo hawaoni sababu ya kujishusha, kubembeleza au kutafuta suluhu,  kwa sababu wana uhakika kwamba siku moja utarudi mwenyewe. Imani hii huwa na nguvu zaidi kama huko nyuma mmewahi kuachana na kurudiana, hasa kama mara nyingi ni wewe ndiye uliyekuwa ukianzisha maridhiano.  Hilo humjengea hisia kwamba hata safari hii historia itajirudia. 1. NIANDIKIE ulichojifunza kwenye comments kwa ufupi... 2. SHARE makala hii kwa mtu mmoja unayemjali... Muda wowote ukiwa tayari nikusaidie kutimiza malengo yako. 3. Mafunzo Kwa Njia Ya Video.  Mwandishi : Dr. @Mosleem  Wasiliana nami kupitia E-mail: Muslimame300@gmail.com Piga +255 740 911 312  whatsapp no : +255 740 911 312 Badilisha fikra badilisha maisha. Ili kujifunza mengi zaidi kuhusu yafuatayo 📚✏️ 📍Maisha📍mahusiano📍biashara📍Ndoa 📍Afya (afya ya akili yaani psychology.).     Follow me na Kama wewe Unapenda Kujiongezea Maarifa Zaidi Kupitia kusoma makala mbali mbali ujiunge na channel ang ya Whatsapp kwa kugusa link hii 🔗👇  https://whatsapp.com/channel/0029VbBYwJJ6xCSQwVpMXX12 #badilishafikra #badilishamaisha #Umakiniunahitajika LIKE 👍 |  COMMENT ✍️ |  SHARE 🌍 ✓
Sababu 2 Za Mtu Kuwa na Kiburi Mnapotaka Kuachana — Hakunaga Kiburi Kisicho na Chanzo Chake Wakati mwingine migogoro katika mahusiano hufikia kiwango kikubwa kiasi kwamba watu hufikiria kuachana. Kinachoshangaza ni kwamba unaweza kumkuta mmoja akiwa na kiburi kikubwa. Haonyeshi utayari wa kujishusha, kutafuta suluhu au kufanya jitihada za kuokoa uhusiano. Mtazamo wake huwa ni, “Likiharibika, basi na liharibike…Liwalo na Liwe” Kwa uzoefu wangu, kuna sababu mbili kuu zinazoweza kumfanya mtu awe na kiburi katika hatua hiyo. Sababu ya kwanza ni matumaini ya kupata mtu bora zaidi kuliko wewe. Mtu anaamini kwamba mkiachana, atapata mwenza mwenye sifa zinazokuzidi. Haoni kuondoka kwako kama hasara, bali anaona umeacha nafasi ambayo itajazwa na mtu bora zaidi. Wakati mwingine hata tayari ana mtu akilini mwake anayemwona anaweza kuchukua nafasi yako. Anaweza kuwa rafiki, mfanyakazi mwenzake au mtu anayemfuatilia kwa muda. Imani hiyo humfanya asiwe na hofu ya kuachana. Mara nyingi watu wa aina hii hurudi wakiwa wanyenyekevu pale wanaposhindwa kupata yule mtu ambaye walidhani angekuwa bora zaidi yako. Sababu ya pili ni kuamini kwamba wewe ndiye utakayerudi. Wapo watu wanaoamini kwamba, licha ya kuachana, mwisho wa safari utawakumbuka na kutamani kurudiana nao. Wanaamini hakuna mtu mwingine atakayekupa kile walichokuwa wanakupa. Hivyo hawaoni sababu ya kujishusha, kubembeleza au kutafuta suluhu, kwa sababu wana uhakika kwamba siku moja utarudi mwenyewe. Imani hii huwa na nguvu zaidi kama huko nyuma mmewahi kuachana na kurudiana, hasa kama mara nyingi ni wewe ndiye uliyekuwa ukianzisha maridhiano. Hilo humjengea hisia kwamba hata safari hii historia itajirudia. 1. NIANDIKIE ulichojifunza kwenye comments kwa ufupi... 2. SHARE makala hii kwa mtu mmoja unayemjali... Muda wowote ukiwa tayari nikusaidie kutimiza malengo yako. 3. Mafunzo Kwa Njia Ya Video. Mwandishi : Dr. @Mosleem Wasiliana nami kupitia E-mail: [email protected] Piga +255 740 911 312 whatsapp no : +255 740 911 312 Badilisha fikra badilisha maisha. Ili kujifunza mengi zaidi kuhusu yafuatayo 📚✏️ 📍Maisha📍mahusiano📍biashara📍Ndoa 📍Afya (afya ya akili yaani psychology.). Follow me na Kama wewe Unapenda Kujiongezea Maarifa Zaidi Kupitia kusoma makala mbali mbali ujiunge na channel ang ya Whatsapp kwa kugusa link hii 🔗👇 https://whatsapp.com/channel/0029VbBYwJJ6xCSQwVpMXX12 #badilishafikra #badilishamaisha #Umakiniunahitajika LIKE 👍 | COMMENT ✍️ | SHARE 🌍 ✓

About