@jikonikwetu_: Blender hii ya @BrinaxTanzania kiboko unaroweka kwenye maji lakin bado inafanya kazi. Na ukisaga juice hakuna kuchuja inajichuja yenyew …yani huoshi vyombo vingi ni jug na glass tu ,hakuna kuosha machujio mabakuli . Blender moja ina kazi 5 tofauti ,kipi kimekuvutia hii blender kuingia maji au kazi zake? #africantiktok#brinaxwaterproofble#creatorsearchinsights#tiktok