@hikmaonlinetv.zan: Njia zinazoweza kuwa sababu ya kupata baraka kutoka kwa Allah ﷻ 3.kuepukana na jasho za watu na mali #dua #islamtiktok #Lifestyle #imaan #deen

HikmaOnlineTv.Zanzibar
HikmaOnlineTv.Zanzibar
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 05 July 2026 08:46:17 GMT
2447
311
8
33

Music

Download

Comments

mariam.mariam1363
Mariam Mariam :
Asallaam alyekum Sheh Nina swali mim nafanya kazi za ndani Ila Nina lafiki yangu mzee tumekaa wote sas kaludi TZ je boss yangu akitoa pesa ya kumpa yule mzee rafiki yangu je nikichuka nusu ya pesa nikatumia mim na yey ni kampa nusu ya pesa zile je ni jasho yake au jasho langu maana kma mim sifanyi kazi kwake au nikifa nya kazi nyumba nyingine hampi yule mzee pesa please naomba jibu maana nafanyaga hivyo kma ni Zulu ma niache mara moja shuklan
2026-07-05 10:57:27
2
salmavlukr1
Salmah :
swadakta shekhe
2026-07-05 11:19:13
2
muna.bhai573
Muna Bhai :
Allah Barikly Fiiy Kwa Kufanya Haya Ili Tupate Rehma Za Allah
2026-07-05 10:20:13
2
ollejidijoy
MASTER JE BIG :
kansa sheikh Allah barik
2026-07-05 19:12:56
1
jumamohamed68
juma Mohamed 32 :
kabisa
2026-07-05 18:51:36
2
mariam.mariam1363
Mariam Mariam :
Yarabi niepushe na kuchukua jasho yamtu
2026-07-05 10:46:42
2
mariam.mariam1363
Mariam Mariam :
Shuklan kwa kunijibu
2026-07-05 11:45:58
2
khassimbinsalim
👑KASSIM✌️ :
💯💯💯
2026-07-06 06:11:03
1
To see more videos from user @hikmaonlinetv.zan, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About