@dr.isopas: Mzunguko ukibadilika Kila mwezi Nini maana yake? Usipuuzie, mabadiliko ya mara kwa mara yanaweza kuwa ishara ya homoni kutokuwa sawa au tatizo la uzazi. Kwanza, mzunguko wa siku 21–35 unaweza kuwa wa kawaida. Pili, kubadilika kila mwezi kunaweza kuathiri ovulation. Tatu, msongo, PCOS au tezi huweza kusababisha hali hii. Nne, lala vizuri, dhibiti uzito na punguza msongo. Mwisho, ukidumu zaidi ya miezi 3, muone daktari. Wewe mzunguko wako hubadilika mara kwa mara? #isopas #foryou #hedhi #mzungukoWaHedhi #afyayauzazi
ISOPAS AFYAPOINT
Region: TZ
Sunday 05 July 2026 09:07:03 GMT
Music
Download
Comments
user54518633741837 :
😳😳😳
2026-07-06 17:22:43
0
To see more videos from user @dr.isopas, please go to the Tikwm
homepage.