@aweryskitchen: 🍱: Chapati, Maini & Maharage 🥘✨ 💰: Tsh14,000/= ♨️: Kitafunio cha nguvu! Chapati laini zikisindikizwa na maini yaliyokaangwa na viungo pamoja na maharage ya nazi. Ni mlo kamili wa kukupa nishati unayohitaji kwa siku nzima hapa Awery’s Kitchen! 📍: Sinza White Inn ⏰: 9:00 am - 11:00 pm ☎️: 0758 223 723 🗺️: BOLT Andika Awery’s Kitchen Tunawapenda sana! Karibuni tena kesho na siku zote. 💛🙌🍽️