😅😅😅😅😅😅😂😂umejuaje nimetoka kupitia hilo swala now😣😣😂
2026-07-05 10:39:41
1
S.G.MWAKISYALA 51🇹🇿🇺🇲 :
nakupenda
2026-07-05 12:24:38
0
msokoro :
ukweli hili jibu huniumiza Sana basi Tu
2026-07-06 17:28:04
0
Peter._official25 :
umeanza ten
2026-07-06 20:08:14
0
Dat girlie Bea🥰 :
Thats HIM🥺🥺anasema nimpende kawaida nsimpende sana😭😭😭
2026-07-06 17:47:06
0
naza-tv :
Mi mtazamo wangu, na maoni yankwagu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu...
2026-07-06 17:57:31
0
To see more videos from user @official.deeeh, please go to the Tikwm
homepage.