@mamantiliewakishua: waambie chochote wanakwaya#fypシ゚ #viral #catholic #ticktockenya🇰🇪 #ticktocktanzania🇹🇿

Mama ntilie wa kishua SINGIDA
Mama ntilie wa kishua SINGIDA
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 05 July 2026 10:27:56 GMT
11101
1406
107
71

Music

Download

Comments

emil.mkatoliki
Emil mkatoliki :
wooooooooooowwww this is beautiful.... Asante kwa kuona uwepo wetu🥰
2026-07-27 11:00:15
6
nelsonsenge680
Nelson Senge :
mamantilie wa singida waooooooh
2026-07-27 16:09:21
0
ngwanasato.shigela
Ng'wanasato Shigela :
Ubarikiwe pia kwa moyo wako kwa kututia moyo Mungu asikupungukie pia katka kazi ya mikono yako
2026-07-27 21:54:05
2
shaymaah.tunu
Shaymaah wa Ukwel :
ubarikiwe sana wanakwaya tutaimba hadi mbinguni
2026-07-26 17:40:28
6
e0123541
Fanboy 1997 :
kwel wanakwaya wanapitia magumu san
2026-07-26 15:17:57
4
kkmchanika1
KWAYA YA KRISTO MFALME CHANIKA :
Asante kwa niaba ya wanakwaya wengine! Tunashukuru mno kwa kuliona hilo
2026-07-26 21:17:56
3
nadesulle
mariasulle :
Ubarikiwe madam
2026-07-26 16:27:49
2
annie_casmiry
anniecasmiry :
Barikiwa sana mpenzi
2026-07-27 19:57:58
1
belthapontian
beltha pontian :
mfriji wetu mtetezi wetu ubarikiwe mpaka ushangae
2026-07-28 05:26:27
0
margaretha.mbukwa
Margaretha Mbukwa :
Asante kwa kutulia moyo. Hakika yahitaji moyo mkuu
2026-07-28 05:14:31
0
nmaria.lugongo
nMaria Lugongo :
Asante sana dada Mungu akubariki
2026-07-27 05:25:40
1
adex0051
adex :
Amen
2026-07-28 04:51:12
0
emanuel_mselle
EMANUEL MSELLE :
Mungu Bariki wenye Maono kama huyu Dada
2026-07-27 12:48:58
1
leticiabandiko
Leticia Bandiko :
Tumwimbie Bwana
2026-07-28 04:42:19
0
yohanabinifhace1
Yohana Binifhace 574219 :
Amen Sana Mungu Akubaliki. Wanakwaya tujuane apa mim naimba saut ya 3 na ya nne👇👇👇👇
2026-07-26 18:34:29
1
mamaafricadesigner
Mama Africa designer 🇹🇿👗✂️ :
Kweli mie nina sauti but kuimba kwaya nakuwa mzito kwa zile ratiba zao
2026-07-06 10:01:50
2
vi20lucas
Viatory :
Asant Dada angu kwa kutia MOYO wanakwaya hakika umenigusa Dada angu.
2026-07-05 20:05:19
2
cecylia3552
Cecylia💝 :
Tunamshukuru sana Dada
2026-07-07 12:14:49
0
elizabethjustine40
Elizabeth Justine :
Songela
2026-07-28 06:01:59
0
g_ee25
g_ee😍 :
Bwana utuhurumie tena ile ya mt. Anna🙏
2026-07-28 06:52:26
0
williamchamafwa91
chama JR :
mungu mwema nasi piah tunabakiwa tunaposkia hivo.. mungu akubariki
2026-07-27 21:23:09
0
mwasupafashion88
MwasupaFashion88💄👠👜💃 :
Asante san dear...Barikiwa sana kwa kutuona 🥰🥰
2026-07-27 20:49:21
0
alicealistides
Alice keys :
tumwimbie bwana katika roho na kweli
2026-07-28 05:25:10
0
methordlumwesa60gmailcom
methordlumwesa :
Aminaa sanaa dada
2026-07-27 20:28:54
0
kimario_nf
Kimario :
Aminae mtumishi wa mungu
2026-07-05 20:28:20
0
To see more videos from user @mamantiliewakishua, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About