@kabigumila: #creatorsearchinsights #alixmiamiswimsuit #abcglobal #kabigumila

Dickson Cornel Kabigumila
Dickson Cornel Kabigumila
Open In TikTok:
Region: US
Sunday 05 July 2026 11:09:31 GMT
26668
771
43
59

Music

Download

Comments

barnabaschildrenc
Barnabas Children Center Trust :
shida mnafikiria nguvu ya Mungu ni miujiza, mnasahau nguvu ya Mungu inaweza patikana na neno la Hekima na ikageuza maisha ya mtu
2026-07-05 20:05:02
15
joyce18600
Joyce :
hilo kanisa unalolisema lina nguvu nyingi za mungu acha zako.
2026-07-05 22:31:38
8
laizare3
laizare3 :
You have said nothing but the truth ubarikiwe
2026-07-06 07:11:52
1
carinohomeztz
𝕮𝖆𝖗𝖎𝖓𝖔_𝕳𝖔𝖒𝖊𝖟 :
Now I understand you, I questioned you before. Now you're right
2026-07-05 18:55:51
2
chambo10jr
chambo10jr :
That is wisdom
2026-07-05 19:35:22
1
onca106
onca :
you're so good Mtumishi.
2026-07-05 19:25:00
1
emmanuel.mwandu
Emmanuel Mwandu :
hallelujah hallelujah Utukufu Kwa Bwana Yesu.
2026-07-05 12:23:09
2
lil.swaag1
lil Swaag :
True say
2026-07-06 06:36:50
0
ngondi.mtanzania
BINGWA WA KUKU AINA ZOTE :
aminaa
2026-07-05 12:00:31
1
paster.mathayo.sig
paster mathayo sige songo :
Amen baba 🙏
2026-07-06 08:47:06
0
mwakadendo
Majaliwa :
preach
2026-07-06 15:47:40
0
tajirmwanyonga
Tajir Mwanyonga :
Amen
2026-07-05 14:03:51
1
blessed.flo
Flo :
Nguvu za MUNGU ndo zimewawezesha kununua magari
2026-07-05 18:18:14
5
myahudimuisrael
Muisrael :
Hilo kanisa ni la Lutheran na lina nguvu za Mungu sana ndio maana unaona baraka zinaambatana na washrika wake. Nguvu na Upako kwa yeye anaeamini katika KRISTO YESU
2026-07-05 18:51:51
15
jacquesdol8
Jacques Dol :
upako tunao jamani ndio masna tuna Baraka mpaka za kiuchumi Mungu sio maskini
2026-07-05 13:12:04
7
moswaga_tz
moswaga_tz :
RC wenzangu tumsifu yesu kristo
2026-07-06 04:52:44
1
jimmyfromzaidi
Jimmy Godlove :
comments zinaonyesha watu wamesikiliza sekunde mbili za kwanza wakaskip the rest😂😂😂
2026-07-06 03:47:04
2
joshuakirenga
#YESUnakupenda... :
njoo usali utajua kama nguvu zipo ama hakuna
2026-07-06 00:25:36
1
user2frankytiello
frankytiellosafarikenya :
kila kanisa lina utaratibu wake..hatuendi tu kwa utaratibu broo ni mungu..sawa..
2026-07-05 19:57:51
1
mchungajiraphaelc
Mchungaji Raphael Christopher :
1Kor 14:40
2026-07-05 18:59:47
1
tarimotz
Tarimo🇹🇿 :
Hii ni kweli kabisa., walokole wengi tunaona UTARATIBU ni kutokua rohoni..,
2026-07-06 06:26:29
0
sullesh_the_brand
SULLESH CLOTHING LINE :
Umeonge ukweli mchungu
2026-07-06 11:50:15
0
wemamedics
wema medics :
halina nguvu ya Mungu kwa nini?
2026-07-06 07:41:37
0
damas.ngottea
damas ngottea :
Kanisa lisilo na nguvu ya Mungu How? Nguvu ya Mungu Ipo na utaratibu upo na unafuatwa
2026-07-06 11:01:25
0
zende8080
Zende :
Ipo hivi kuna watu wenye uhitaji wa nguvu za Mungu na kuna watu wenye kuhitaji kuabudu tu ndo mana kulikuwa na Makuhani na upande mwngne Manabii ya nabii Eliya,Elisha na kulikuw na mitume wenye nguvu akina Petro nk na wkt akina Petro wanaponya watu huku upande mwingine makuhani walikuw wanawaongoza watu kuabudu sote tunajenga nyumba moja
2026-07-06 01:22:36
0
To see more videos from user @kabigumila, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About