brother umetisha na ww umekuja na ubunif wako brother saluty San😂😂😂🔥🤝🇹🇿
2026-07-06 06:30:08
159
abushehe :
hhhhhhh unajua hii sio igizo ndo ukweli wenyewe
2026-07-08 15:08:26
80
Chimamah 💸💯💕 :
5/5 nalipa
2026-07-15 17:57:01
3
concareen pius :
kwani tasnia ya filament Tz aijakuona au🤣
2026-07-14 09:51:56
20
Bless P Vocalist :
brother hii content kali sana 😂😂😂
2026-07-06 14:17:04
8
HUSSEIN HUSSEIN :
hatariiiiiiiii papa mulumbaaaa😁😁😁
2026-07-06 16:52:56
16
Hollyvoice :
ila kweli
2026-07-06 12:51:31
6
PICHA MBAO & PHOTOSHOOT KAHAMA :
nakupendaga sana sheli🔥
2026-07-07 08:01:00
12
Athumani Kubo :
we jau kwel mwenetu unajiamulia mambo
2026-07-05 14:51:35
9
𝑺𝒂𝒇𝒂𝒓𝒊 𝒕𝒆𝒄𝒉.𝒕𝒛 :
hapo mwisho aiseee🤣🤣🤣
2026-07-15 08:23:41
7
Doris cliff :
izo ndio tabia zao hao 😂😂😂😂😂
2026-07-16 10:06:09
2
🖤💞RihhanRoan :
😂😂😂utafifia 🙌
2026-07-06 04:50:06
5
Lora_store :
50/50 chap
2026-07-15 19:41:25
1
Moureen Kiralio :
naeza kupaka na kibao fiti shery adi unisahau😂😂😂
2026-07-14 15:29:01
6
@MD@KHAN🦺🦺 :
unajua sana 🤣🤣
2026-07-13 16:36:13
5
sweet baby 🇹🇿🥰🇷🇼 :
unajuwa nacheka Kwa nini 😂😹🤣
2026-07-16 07:13:45
3
UNTAKE :
ukiacha breach dada n mzr sana acha kuweka breach ww n cute
2026-07-16 06:19:41
0
Olise Ãtĥéř :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa sina cha kusema
2026-07-14 18:18:41
2
✊🏽Lavie🤙🏽d'Antoine🖖🏽 :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 we mp tu chérie, 30/30 😭😭😭😭😭😭😭
2026-07-07 10:13:13
4
CKK :
2026-07-06 20:18:09
3
Mtemi Tz jamess🚎🚐 :
hahahahahahaha
2026-07-07 18:01:49
2
To see more videos from user @mavoicetz_papaamulumba, please go to the Tikwm
homepage.