@islamic_rihla: Kuonyesha upendo kwa mke wako ni sehemu ya kujenga ndoa yenye utulivu na maelewano. Maneno mazuri huimarisha mapenzi na huleta furaha ndani ya familia. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH ABDULRAHAM BAKARI MHINA 📌 Fuatilia Islamic Rihla kwa mawaidha, nasaha na mafunzo mbalimbali ya dini. 🔄 Sambaza kheri hii ili wengine nao wanufaike. 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #islamic_rihla #islamicvideo #uislamu #islamic #islamic_rihla 🟠 FOLLOW US