@mtoto_wa_maria: Ulimwengu wote unasimulia utukufu wako, hata ndege waliopo angani, maua yanayovutia bustanini na vyote vilivyopo duniani vinakusifu na kulitaja Jina lako. Sasa mimi ni nani nishindwe kukushukuru na kukusifu Ee Mungu wangu? #furahatemba #thankgod #catholictiktok #tanzaniatrending #viralkenya