@alexmwamtobe:

@Alex Mwamtobe
@Alex Mwamtobe
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 05 July 2026 12:12:41 GMT
11979
512
20
69

Music

Download

Comments

ibrah75925
ibrah7 :
Mungu akuongoze Kila hatua. Pia hawasomi watoto tu hata sisi pia. Ninachukuomba tuletee na maswali mwalim
2026-08-02 19:27:28
2
user1310361702931
heroshyma :
thanxs
2026-07-07 11:12:59
2
ajubajuma498
Ajuba Juma :
mm nataka no ya what's app
2026-07-26 08:41:22
0
kassim.ussi
Kassim Ussi :
safi sanna hii
2026-08-17 10:58:20
0
abelbuluba1
abelbuluba :
ok
2026-07-27 17:30:20
0
georgejoshua947
George Joshua :
Eeee unajua jamaaa
2026-08-11 20:08:50
0
iswahiliworld
iswahiliworld :
Kumbe hesabu zilikuwa za kiboya tu, ila yule mwalimu ndio alikuwa tatizo.
2026-07-05 18:03:19
1
sirntambala3
Mr Lupango :
niunge Moja kwa moja
2026-08-09 15:47:41
0
sangasanga95
Sanga Sanga :
hesabu ni nzuri sana eeeeee🥰
2026-07-09 13:09:42
1
henrick_sanga255
henrick sanga :
ndio maana nilikuwa siipendi shule
2026-07-16 10:28:52
1
abdalla.saleh324
Abdalla Saleh :
kumbe tatzo ilikua sio mm
2026-07-05 13:38:20
1
mrssa87
Mrs Engineer ❤️ :
hesabu ni rahisi aki solve mwalimu
2026-07-31 17:13:43
0
chuga_mbise
Mbise :
nilivyokuwa mgumu kuelewa hesabu ila hapa nimwekielewa mpaka natamani kurudi shule😄 ila ww ndo unifundishe nimegundua mwalimu wangu alikuwa hawez kufundisha aki😄😄
2026-07-05 18:21:26
1
just.nameeta
Nameeta :
Nazielewa hizi hesabu at 28 years old, jamani mimi nilikuwa napata 10/50 primary hilu somo
2026-08-03 06:49:49
1
isackadriano6
mwandishi talent power :
wengi mnasema mmeelewa mimi mbona sielewi kwanza hizo x zinanichanganyachanganya🤣🤣
2026-08-02 09:21:05
0
ajubajuma498
Ajuba Juma :
mwalimu
2026-07-26 08:40:31
0
star01_greatmind
Star01_Great Mind :
mchoro umechorwa vibaya. hiyo 2x+50⁰ na x+10⁰ inaonekana imeunganishwa
2026-07-05 18:08:43
0
jijega.ngoga
Jijega Ng'oga :
umetisha mwalim 🤚🤚
2026-07-05 14:15:30
1
emmanuel.mwinuka5
Emmanuel Mwinuka :
weka kwenye flash uanze kuuza kaka.ili tuwanunuliecwatoto
2026-08-06 16:13:40
0
To see more videos from user @alexmwamtobe, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About