@vision_dad: dada aliye kula nauli part3 #eastafricantiktokers🇹🇿🇺🇬🇰🇪 #visiondadbrand #tanzaniatikitoker #congolaise🇨🇩🇨🇬 #kenyantiktok🇰🇪

vision_dad
vision_dad
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 05 July 2026 12:14:00 GMT
369921
27576
957
1573

Music

Download

Comments

user271462493787
Rosealfredy :
ardhi pasuka dada aingie jaman
2026-07-06 10:42:35
343
anu03852
anu :
me sintoacha kula nauli
2026-07-06 06:21:06
190
joyce.john065
Joyce John :
Kwani tisini kitu gani?
2026-07-05 20:17:08
277
mariakitawa033
mariakitawa033 :
nimebaki mimi jaman😅😅
2026-07-05 18:05:16
77
soud.boy2
bila kuchoka :
mzee unaroho ngumu unatuma 90000 mzee
2026-07-06 10:37:45
101
husna.moshi1
husna moshi :
hiii mbaya sana mm nilipigwa kisa elfu saba sina ham
2026-07-06 16:18:15
78
happyness0727
happyness :
nilikuwag na hii tabia ila nimeacha jmn 😂😂😂😂😂
2026-07-05 19:55:33
100
treziamenasndunguru
treziamenasndungu :
aibu sana wanawake fanyeni kazi kamani
2026-07-06 03:44:38
90
rechoambege
recho Godfrey :
baba waovyo uyo jamani
2026-07-05 22:09:27
70
pettite18
Pettite💞🦋🌹 :
Mwanaume mshenzi kama baba yake🥹🥹🥹🥹🥹
2026-07-06 15:42:26
22
mutramagic
Mutramagic :
Leo Leo kazi ipo 😁
2026-07-05 15:02:33
35
shery42698
sherry💞💕 :
heeeeeeeeeeeeee🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺 wifi yangu mariamu, tobaaaaaaah,
2026-07-06 04:55:55
67
teclah0021
Tecla❤️🌹 :
ila umaskini mmbaya Sanaa😭😭😭😭😭
2026-07-06 04:50:10
30
issawamitego
Issa wa mitego :
Aaaah mamae we kaichape mzee
2026-07-06 17:10:44
2
ncina_
Ncina_💞 :
next part
2026-07-07 20:42:15
0
esmaa.fono
Esmaa Fono :
gud byeeeeeeeeee😅😅😅
2026-07-07 11:56:11
0
happynesspeter3
happyness :
Nimeamka nimechoka sana leo ila nilivyoiona hii aloo mwili umepata nguvu ghafla acha nikatafute tisini yangu mwenyewe
2026-07-07 11:13:02
5
nancylioni
Nancy 08 :
mm sikuwep sijui kitu ooteee
2026-07-05 19:34:09
32
pili.khalifa22
pili Khalifa22 :
yaaan katika kula nauli tumekubaliana hatuachi
2026-07-06 13:46:24
22
neydeals_hub
NeY Deals Hub 🛍️ :
huyu dada Aitwi Elizaa???
2026-07-06 12:11:21
9
maria255204
MARIA255 :
mama ako akikuomba huna umeona mungu alichotenda
2026-07-06 12:42:38
12
sashamaluva
sashamaluva :
umasikin mbaya sana tisin jaman jaman Mungu atupe pesa zetu
2026-07-07 08:10:06
6
lianj47
mr lian⌚ :
iyo leo iyooooooo
2026-07-05 15:38:55
6
To see more videos from user @vision_dad, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About