@sokonidar: Jirani mjini saizi tunapokea vitunguu kutoka mikoa minne tofauti, sokoni unapata vitunguu kutoka Iringa, Singida, Tabora na Manyara, Vitunguu vingi zaidi vinavyokuja mjini kwa sasa vinatoka mkoa wa Iringa, msimu wa mavuno Iringa ukiisha mavuno yanahamia Njombe na Tabora, kuanzia mwisho wa mwezi wa saba Karibu sana sokoni Jirani, tufanye biashara #tanzaniantiktok🇹🇿 #kilimobiashara #kilimoniajira #kenyantiktok🇰🇪 #daressalaam

SAT.
SAT.
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 05 July 2026 12:17:09 GMT
14502
395
31
18

Music

Download

Comments

user7387363054523
Everline 333 :
naitaji plz
2026-08-30 13:15:10
1
rayshkeykeyraa
rayshkeykeyraa :
gunia bei gani
2026-07-15 14:35:43
2
joshua.kyando8
DJ IBU MUSIC :
vitunguu swaum navyo mnauza na nishingap
2026-07-15 06:32:32
1
user6602624423397
Rose :
Where are you located
2026-11-18 20:36:33
0
user4059033363956
user4059033363956 :
hii soko iko wapi ?
2026-07-06 14:43:10
1
deemarro004
deemarro004 :
Shingap sahv
2026-07-11 13:12:51
1
nancy.lucas74
Nancy Lucas :
apa ni ilala
2026-07-06 15:24:20
1
kakaire.rose
Kakaire Rose :
sokoni ya kirembeko Arussia
2026-08-23 12:07:44
0
johndeochengelela
John Deo Chengelela :
kuna ekar za kutosha igawa karibu boss zinavunwa
2026-07-16 21:34:36
1
rayshkeykeyraa
rayshkeykeyraa :
km hiv bei gan gunia
2026-07-15 14:37:12
1
margaretmwamburi28
fulldozer :
jamani Mimi nitapata aje kitunguu
2026-07-06 14:09:36
1
absammy1
absammy1 :
gunia bei gan
2026-07-07 05:05:09
1
bonifacemuvili
Bonifacemuvili179 :
kilo moja pesa ngapi
2026-07-06 15:52:53
1
lelloleon
Lello Leon :
njombe vnatoka sehem gn
2026-07-08 05:48:41
1
mama.twins91
Mama twins :
itaisha lini uko mavuno
2026-07-08 01:01:15
0
flora_mwenda
Flora :
najua machimbo ya kuchukua mzigo ila sijui masoko ya dar pls naomba nisaidie kaka
2026-07-13 16:21:44
1
ibrahimsosten
young daddy :
@ma elf 100
2026-07-13 16:49:39
0
femme.forte343
femme forte :
🥰🥰🥰🥰
2026-07-18 16:18:01
1
85onelove
joephysics one love :
Habari, naitwa Joshua Elias, kutoka Tanzania. Mimi ni mkulima wa vitunguu ninayelima katika wilaya ya Mvomero, Morogoro. Nina takribani tani 21–27 za vitunguu vyenye ubora mzuri kutoka kwenye shamba langu lenye ukubwa wa ekari 3, ambavyo vinatarajiwa kuwa tayari kuvunwa kuanzia tarehe 10 Oktoba 2026. Kwa sasa natafuta mnunuzi mkubwa na mwenye nia ya dhati ambaye anaweza kununua na kuchukua vitunguu moja kwa moja kutoka shambani kwangu Mvomero. Naomba mnipatie taarifa zifuatazo: Bei mnayonunua kwa sasa kwa kilo moja Kiasi cha vitunguu mnachoweza kununua Kama mnakusanya/kuchukua vitunguu moja kwa moja shambani Masharti na njia ya malipo Mahitaji kuhusu ukubwa wa vitunguu, ubora, ukaushaji (curing), upangaji (sorting) na ufungashaji Niko tayari kujadiliana kuhusu ukaguzi wa vitunguu shambani, bei, kiasi kitakachonunuliwa, malipo na utaratibu wa kuvichukua. Asanteni, na ninatarajia kusikia kutoka kwenu. Joshua Elias Mkulima wa Vitunguu Mvomero, Morogoro, Tanzania WhatsApp: 0781 462 963
2026-10-02 08:20:07
0
To see more videos from user @sokonidar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About