mafuta ya olive sina nifanyeje? siezi tumiya nyingine? muchungali mungu akubariki
2026-07-10 02:30:05
5
binti kajembe :
kama olive oil sina siwezi tumia mafuta mengine
2026-07-05 21:11:00
13
Inej(shadow monster 💀) :
prophet nimefanya hivyo ,usiku wa kuamkia Leo nineota natapika mzizi mmoja,nyama mbili zinakaa mfano wa wengu ,na nyengine nyeusi inatisha Sana sikueza kuitizama ,katika hyo ndoto nikambiwa nimetapika uchawi niliolishwa,prophet ubarikiwe Leo na milele🙏
2026-07-18 05:57:04
21
annenyambura212 :
shida ni watu wakikuona ukiokota mchanga si watakuita mchawi?
2026-08-17 11:08:22
1
Mwanakhery Mangasini :
mungu akulinde kwaajil yangu kaka
2026-07-05 14:45:22
10
pixie :
lazima hiyo mafuta iombewe ?
2026-07-18 15:30:34
4
maizemaize :
amen amen
2026-07-05 15:01:20
10
stellen b :
mwisho unajifunga
2026-08-17 09:44:18
1
Evodia Nyongole :
kwan lazima yawe mafuta ya mzaituni kama huna je?
2026-08-13 16:55:43
1
Frowin Smart :
Prophet unajitahidi sana kututoa kwenye mikono ya watesi,Mungu akubariki sana mtumishi
2026-07-09 13:47:42
8
Esha Rujaina :
ameni amen
2026-07-27 23:07:45
1
user84916561527267 :
🫒 Olive wanauza supermarket ama Cosmetics
2026-07-19 10:38:02
3
Ahyan Rashid :
unachukuaje
2026-08-12 12:02:48
1
Subii :
olive oil ni kama ipi .
2026-07-05 17:18:02
2
puriemwee :
nilifanya hivi kazi yangu ikafunguka after 1 week
2026-07-18 13:57:48
2
Nicole nura :
amen amen amen amen amen
2026-07-06 17:02:02
2
Josephine❣️💕💕❤️💖Joh :
amen
2026-07-05 14:04:13
2
To see more videos from user @prophetrogersministry, please go to the Tikwm
homepage.