Siyo sahihi kwa umri huo anahitaji fund security kama UTT na si biashara zingine
2026-07-05 19:51:44
2
JCM :
brother
2026-07-08 18:09:40
0
stellafaraja607 :
Yeuwiii kachemka kabisa.
2026-07-07 18:06:44
0
Zaina Nassoro :
🙏♥️♥️♥️🙏Yuko sahihi
2026-07-10 09:54:44
0
Petrokilas :
yko sahihi
2026-07-05 15:10:54
2
Frederick Iwato :
Yuko sahihi
2026-07-07 07:31:49
0
Adam HR 🇹🇿 :
yupo sawa
2026-07-05 16:14:56
0
bageni :
yuko sahihi
2026-07-05 20:42:35
0
mwangomba :
kuanzisha kampun haiangalii umri bari ni namna ya kuendesha na mikakati kwa familia
2026-07-06 16:12:03
1
Stephen Anthony :
alikuw na ndoto japo amechelew kuitimizaa huenda yy haangalii pesa mezan anatak kutmizaaa alichokuwa anaotaa yupo saw ila sasa,hyo shule ni project inahtaj mda mpak iingiee kweny maslahii mwelekezenii
2026-07-05 20:54:30
1
michaelfelixngole :
yupo sahihi sana ,ana watoto ambazo ajira kwao itakuwa ni shule.pia ni huduma katika jamii,umri huo ni kawaida sana,bado sana.Ngvu ni watenda kazi ,yaani walimu watakaoajiriwa.Yupo sahihi sana.Wanaomkatisha tamaa Wana fikra changa.wanafikiri kdg sana.Alikuwa na ndoto na lazima itimie.
2026-07-05 15:15:27
2
Dee_treats_cakes :
Bora angenunua bondi utt
2026-07-05 19:42:39
1
Maro :
Kwanza kabisa Ana challenge zifuatazo, 1. Ushindani 2. Mgeni kwenye field 3. Mtaji mdogo 4. Energy ndogo 5.Amekurupuka vibaya mno, kwa kawaida ni vigumu sana kuanzisha mradi na kuukuza at the same time unautegemea huo huo mradi ukupe mahitaji. Kwa kawaida mtu aliezeeka akiwa katika ajira bila kufanya kitu kingine mara nyingi hawezi kufanya na kusimamia kitu chake mwenyewe so hata hio shule aliyojenga haitoweza kuendelea
2026-07-05 16:22:07
1
Muganyizi Leonard :
yupo sahihi,kwa sababu ilikuwa ni ndoto yake.Hata akifeli kuendesha shule,atauza eneo na hayo majengo,na thamani itakuwa imeongezeka
2026-07-05 19:22:42
0
Oliver Minja :
Amebugi
2026-07-06 18:19:48
0
Innallaaha ma'anaa :
hapana, hapo kaingia chaka
2026-07-10 19:39:33
0
Lilian-Ruga :
Kaingia chaka! Angenunua tu Bonds akala interest
2026-07-07 10:56:49
0
Yao Yao :
Watafaidi watoto
2026-07-06 11:42:08
1
Rehema :
Amekurupuka
2026-07-09 05:42:30
0
Johnjohn :
amekurupuka.
2026-07-06 04:58:57
0
Kachiri08 :
Amekurupuka
2026-07-11 03:04:12
0
otto nyakasagani :
Yuko sahihi lakini aweke misingi sahihi ya kuendeleza kwa familia au wabia wake hiyo ni legacy sahihi ...hajakurupuka
2026-07-05 18:56:42
0
Devotha Mwakyumba :
angeuza hilo eneo tu
2026-07-11 05:03:37
0
To see more videos from user @mstaafu_forum, please go to the Tikwm
homepage.