@dalali_kijichi_pacha: KIJUMBA KINAUZWA KITONGA WILAYA YA ILALA 💥💥 BEI MILIONI.7 NA LAKI.3 MAONGEZI YAPO ✅✅ KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU TUPEANE MAELEKEZO YALIYONYOOKA ☎️ 0783683718 SERVICE CHARGE TO VISIT Tsh.20,000/=✅✅ #trend #tiktokkenya🇰🇪 #viralvideo #tiktotanzania🇹🇿 #realestate
DALALI KIJICHI PACHA.26
Region: TZ
Sunday 05 July 2026 13:22:37 GMT
Music
Download
Comments
Coco🧿❤️🔥🇯🇵 :
Kunaonekana kuna wanga huko 🥺
2026-07-06 01:28:03
26
Last Born :
Nimekupangisha nyumba yangu wew unataka kuiuza,😂😂
2026-07-29 18:02:09
2
. :
kitonga ni wapi hivi
2026-07-07 16:05:11
1
johary :
bado ipo au??
2026-07-06 13:43:57
1
king joh :
pacha bado ipo au
2026-07-08 13:26:26
0
MR POLITE :
nimeona
2026-07-06 08:30:30
1
mimah :
nataka ya elfu 50😊😊
2026-07-07 14:19:21
1
user1777753450749 :
mbona panatisha mauzauza hayapo kweli hapo.
2026-07-27 12:08:43
1
. :
ikifika ya 1k utanishtua😂😂😂😂
2026-07-07 06:14:05
2
camila Mmari :
Naomba nikitumie video ya nyumba naiuza ipo Mbagala
2026-07-07 19:26:58
2
kaju :
milioni shaba
2026-07-06 22:04:29
0
Ms Naah 🦋 :
Bado ipo hii
2026-07-05 14:40:09
0
ThirdBoy :
unauza pamoja na kiwanja
2026-07-07 15:48:40
0
kingo love 1 :
nina nyumba na mm naiyuza
2026-07-07 14:39:21
0
RICH JOYCE :
tukauxiane MAHAKAMANI
2026-07-07 16:49:54
0
Zenga de don :
shuka kidogo
2026-07-06 09:16:58
0
Boy Mtu Mwema :
kweli
2026-07-06 10:05:11
0
daya shay :
bado ipo jmn
2026-07-07 14:13:45
0
Jojoh❤️🤗 :
Ipo dalali
2026-07-07 14:35:16
0
mangi mangi :
5 inafaa
2026-07-06 10:09:34
0
khajna hamisi :
bado ioo iyo nyu NBA
2026-07-05 19:17:27
4
NATIONAL☸️⚓🌏 :
Aya endelea kutangaza
2026-07-06 10:55:07
0
queen rahma :
Kitonga napajua
2026-07-06 17:57:50
1
TMT :
mim nna shida na iyo nyumba ya laki moja
2026-07-06 07:04:24
0
NATIONAL☸️⚓🌏 :
6 kamili ipo
2026-07-06 04:50:40
1
To see more videos from user @dalali_kijichi_pacha, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.