@cutevinercosmetics: Hizi ni magnetic metal bracelet nzuri sana kwa wale wasusi na stylish wa nywele … usiangaike kushika chupio mdomoni😁😁 unakuwa na bracelet yako yenye sumaku unagandisha na unamuhudumia mteja wako ukiwa unaonekana professional Usipake jelly kwenye mikono… wasusi msipake jelly kwenye mikono ni mambo ya zamani… unashusha brand😀😀 Unakuwa na bracelet yako unapaka jelly yako unaendelea na shughuli zako basi unaonekana unajielewa,unaonekana wa Juu… kidogo unampa mteja Imani ya kukuamini 🤪🤪 Ni tsh.5,000🤌 unaongeza value ya salon yako Unaweza kuipitia ukachukue kwa ajili ya salon yako👌👌 Penda kazi yako.. Penda ofisi yako👌 Tunapatikana Sinza mori Call/whatsapp 0744382928 Tunakuletea popote ulipo Tanzania