@eminence_drivingschool: MAGARI YA KUPEWA KIPAUMBELE Makundi haya ni maalumu kwa madereva kuzingatia kuyapa kipaumbele uwapo barabarani. Elimu kama hii utaipata hapa kwetu Eminence Driving School. kwa wanaohitaji kufatilia video ya darasa Hilo tembelea link ya YouTube kwenye profile bio yetu hapo itakupeleka moja kwa moja na kujifunza mengi. Eminence Driving School"Center for Best Drivers"