@talkboutitwithconradley: Kosa tulifanyalo tunapoomba. Umeshawahi kuhisi kama unasali sana na maombi yako hayafiki hata Buza? Hayapokelewi sehemu yoyote? Embu jaribu hili☝🏽anza kuwa na kusudi maalumu, usiwe na maombi "general". Hata mtoto akija kwako na mahitaji ya shule atakwambia "daftari limeisha, penseli zimeisha etc" Baada ya hapo anza kuishi kama umeshapokea hiyo baraka, kwani maombi hayajibu ombi lako..bali imani. SITAKUFUNDISHA KILA KITU! #prayers #lifelessons #faith #believer #sunday

talkboutitwithconradley
talkboutitwithconradley
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 05 July 2026 13:36:06 GMT
5051
505
7
32

Music

Download

Comments

anstaziejackie
anstaziejackie :
Eee Mungu wangu nisaidie kwenye kila hatua ya mafanikio sawasawa na kusudi lako.
2026-07-05 13:41:17
1
phennyanzy
Phenny :
amen
2026-07-05 13:43:45
0
barnabasilomba
Richman Besco :
Thank you
2026-07-05 14:09:24
0
zulfamkwanda
Zulfa Mkwanda :
amen
2026-07-05 13:46:31
0
joyce.william95
Joyce 26 :
ameen 🙏
2026-07-05 14:27:52
0
www.tiktok.comgot1
@Terry OG 🇰🇪 :
Mungu nipe mtu nimuombeee❤️🙏🙏
2026-07-05 13:47:14
0
martha.martha604
Martha Martha :
amen
2026-07-05 13:39:26
0
To see more videos from user @talkboutitwithconradley, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About